Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimezichunguza kwa makini nchi hizi mbili mpaka nimekuja kugundua zinatofautiana katika mambo yafuatayo; *Lugha ya kikoloni Tanzania ni kingereza, Congo ni kifaransa. Lakini Congo kifaransa ni...
0 Reactions
131 Replies
18K Views
Wafanyabiashara ya Majeneza Mjini Moshi wamelalamika hali ya biashara kuwa ngumu. Wafanyabiasharaa hao wameeleza kwamba, inaweza pita miezi miwili hujauza jeneza hata moja. Biashara ya majeneza...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakati baadhi ya wakulima wakianza kulipwa wilayani Newala, mtu na mpenzi wake wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kughushi cheti cha malipo ya korosho. Mkuu wa wilaya hiyo, Aziza Mangosongo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi kuunda timu ya wataalamu kufuatilia Sh milioni 700 zilizotolewa na Serikali kukarabati Hospitali ya Wilaya ya...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Nimefanyakazi hii na ningependa watu wanaojifunza ujasiriamali kuona safari zilivyo ndefu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Miaka imekwenda ndugu yetu na rafiki yetu Ben saanane , tumezimiss sana post zako, tumezimiss sana hoja zako. Najiuliza kwa marefu na mapana kwanini siasa zimetufikisha hatua ya kuwekwa kizuizini...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Wealth is not health. A home is not a place. Generosity is not loyalty. Silence is not ignorance. Authority is not influence. Humility is not self-doubt. Kindness is not weakness. Privilege...
4 Reactions
8 Replies
858 Views
Hakuna ubishi kwamba Watanzania tunaongezeka kwa kasi sana. Wakati tunapata Uhuru ilikadiriwa kuwa nchi ilikuwa na watu milioni tisa. Sasa tupo karibu milioni 60. Sawa na population ya Uingereza...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Na.amiri kilagalila mc.amiri/mr.mtaani Wananchi wa kata ya Mtwango wilayani Njombe wamesema kuwa wataendelea kuboresha ujenzi wa vyoo bora na vya kisasa kufuatia matokeo chanya waliyoyapata baada...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau. Hivi karibuni serikari yetu ya Jamhuri ya Muungano imepitisha sheria mpya ya hifadhi ya jamii ambayo kimsingi ni kandamizi na ni ya kiwizi.Sheria hii pamoja na mambo mengine inatoa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
16 Tanzanian fishermen arrested for illegal fishing SUNDAY NOVEMBER 18 2018 Kenyan authorities have arrested at least 16 fishermen from Tanzania for allegedly trespassing into the country...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Januari 18, 2015; Ikiwa na abiria 131 waliokuwa wakisafiri na ndege ya Fastjet, kutoka jijini Dar es Salaam kwemda jijini Mbeya, walikumbwa na taharuki, baada ya ndege hiyo kushindwa kutua kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kulivyo na siku ya Wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka mnamo Machi 8, Novemba 19 ni siku ya Wanaume duniani Mataifa zaidi ya 70 hujumuika pamoja kuadhimisha siku hiyo duniani tangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndo ivo. Bara bara za Mfugale zina matuta mengi kuliko shamba la viazi la hekari moja kwa km moja. Hii huongeza uchakavu wa magari, gharama ya mafuta na kuongeza disconfort ya safari. Baada ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni waandaaji na watangazaji wa vipindi vya nyimbo laini siku za Jumapili. Mi ni mpenzi wa nyimbo laini. Hawa jamaa wote ni mahili kwenye vipindi vyao Felix akiwa TBC Fm na Jerry akiwa Clouds...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wamiliki wa hisa katika Kampuni ya Vodacom Tanzania wameidhinisha mauzo ya hisa za Kampuni ya Mirambo Holdings kwa Kampuni ya Vodacom ya Afrika Kusini Mirambo Holdings inayomiki asilimia 26.25 ya...
0 Reactions
55 Replies
17K Views
Usiwe mbahili wa mb fungua video msikilize Mwl kashasha akimfundisha Amunike mbinu ili kuwafunga Lesotho...kwa bahati mbaya Amunike kaingia kwa kupaki basi hakufuatisha ushauri wa kashasha
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wachawi bwana Mchana hawalali,Usiku hawalali sijui wanapata faida gani? Cc Zero IQ
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom