ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Tafadhali tunaomba mfumo wa habari urudi kama ilivyokua awali sio siri naona kama TV channels za Azam, Itv, Clouds, Star TV, east Africa, Capital, Channel Ten, nk zimefifia mno!
Hivi hili halitakua na athari kwa maendeleo ya jamii kweli?
Hatupati habari na matukio kwa Njia nyoofu habari twazipata mitandaoni kweli?
Sio siri tunaboreka sana majumbani sijui tatizo liko wapi? Kama vituo hivi havikuwa na kibali muda wote si vipatiwe sasa?