Heshima kwenu aisee.
Niende kwenye mada moja kwa moja, hivi hii sikukuu ya Maulid mwaka huu inakuwa tarehe ngapi wandugu...?
Wengine walisema leo naona imekuwa sio, wengine wanasema kesho au...
Wanaume wenzangu leo baada ya kumsikia mwanaume mwezetu tena mkuu wa mkoa akilaani kifungo cha miaka 30 jela kwa kumpa mimba mwanafunzi huu ni uonevu uliopitiliza ambao tumefanyiwa wanaume wa...
Watu wa pwani mpaka leo hii wengi wao wanaamini ugonjwa wa kupooza mwili ni ugonjwa unaopatikana chooni kwa kukumbwa na maibilisi yanayoishi chooni.
Wengi wao mtu anapopooza moja ya viungo vyake...
Katika kuleta usawa na maadili katika sehemu za kazi, juhudi zisiishie tu kwa mapapa, ila hata huku kwenye ngazi za chini, leo ningeomba tuanzie kwenye hostel za vyuo vyetu.
Mimi nitaanza na...
Jambo hili limekuwa likisemwa sana kwamba wamiliki wa mabasi ya kampuni la mabasi la Abood wanakawaida ya kuwanunua maafisa Wakuu wa Polisi wa Mikoa na wale wa Usalama barabarani ili wawazuie...
No Longer at Ease ni riwaya ya mwaka wa 1960 iliyoandikwa na mwandishi wa Nigeria Chinua Achebe. Ni hadithi ya mtu Muigbo (pia huandikwa Muibo), Obi Okonkwo, ambaye anatoka kijijini mwake...
Sio mara ya kwanza kusikia mwanafunzi wa chuo kikuu ameishiwa na anaomba msaada wa fedha. Nimesikia pia wasichana wa UDOM baadhi hunyanyasika wanapoishiwa funds. Kwanini iwe hivyo? Vyuo viweke...
Mpaka Leo hii haya maeneo mawili ya jijini yananichanganya sana.nachojua posta Ni pale kwenye mnara wa askari.ila sijui Kama pale ndo posta mpya au ya zamani.na Huku sammora wanaita Ni posta ila...
Ndugu wana JF, nina ndugu anaomba msaada kufahamu kilipohamishiwa chuo cha IIT (Institute of Information Technology kilichokuwa eneo la Ilala karibu na Machinga Complex maana amejaribu kupiga simu...
Wakuu Tujadili!
Ni vigezo vipi vilitumika na nani aliyeipima ITV na kutamka ushindi wao?
Walishindanishwa na vituo vipi? Vya ndani na nje ya bongoland au kimataifa?
Hii hapa ni evaluation yangu...
Wakuu, wana JF, good morning,
Kuna mambo mtu hadi afikie kusema, tatizo huwa sio yeye...ni wazazi, walezi, wakufunzi na hata ni Serikali.
Mimi nilichukuliwa na Wadenmarck mwaka 2000, nilipelekwa...
BBC inataka kuwa Giant wa Media duniani, ameshindwa Marekani sasa anataka kuiteka Africa. Huko kashindwa kwasababu kuna akina CNN, na uarabuni kuna kina Al Jazeera, huwezi kuwatoa kizembe...
Mara ulipomteua Makonda kuliongoza jiji hili la Dar nilijua atatatua suala hili lakini naona kachemka.
Vijana wengi wa Uswahilini Dar es salaam hawajapata elimu ya juu kwasababu mbalimbali. Kwa...
Wakuu,yaan kila nikimwangalia dereva mwanzangu,anachat ,likitokea la kutokea hiv inakuaje wakuu.
Mim leo nmejikuta nipo nje ya mstar,ikapigwa honi moja na jamaa wa daladala,ndio ikawa pona pona...
Boomslang akikuuma sehemu kubwa ya damu hupoteza uwezo wake wa kuganda
Mnamo Septemba 1957, mkurugenzi wa kituo cha kuwahifadhi wanyama cha Lincoln Park Zoo mjini Chicago aliagiza nyoka mmoja...
Siku ya leo imekuwa ya furaha kwangu mimi tofauti na walio wengi ambao wapo kwenye huzuni na masikitiko kutokana na timu ya taifa kushindwa kutumia nafasi kushinda na kujihakikishia tiketi ya...
Kiukweli nimeshindwa kuvumilia hii adha, ni kama mwezi sasa toka niache hii shughuli haramu ya kubeti na nimetubu kabisa kwa mola wangu na sitorudia Tena Fanya huu upuuzi.
Sasa kitu kinachonikera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.