Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa Uganda Leo amewapongeza vijana wake wa timu ya taifa kwa kufuzu michuano ya Afcon 2019 huku akiwataka kuhakikisha wanawafunga Tanzania katika mchezo wao wa mwisho jijini Dar es Salaam...
8 Reactions
73 Replies
10K Views
Nanai anahama na nani anabali lilikuwa ni swali linalogonga vichwa vya wengi Alhamisi iliyopita ya Novemba 15 ambayo kwa mujibu wa CCM iliuwa ni siku ya mwisho kwa Wabunge na Madiwani kutoka...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwanza naomba kuweka wazi kwamba napongeza sana jitihada za Mkuu wa Mkoa mteule wa Dar es salaam, ndugu Paul Makonda kwa juhudi zake za kufanya kazi kwa bidii na dhamira ya kuleta mabadiliko...
5 Reactions
40 Replies
11K Views
Taasisi ya Trademark East Africa (TMEA) imetumia dola za Marekani zaidi ya 400,000, kuziwezesha Mamlaka za Chakula na Dawa za Tanzania Bara, TFDA na Zanzibar, ZFDA kutumia mfumo wa utoaji vibali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAHITIMU Chuo cha Urembo cha Manjano wametunukiwa vyeti katika nyanja ya urembo na vipodozi (Cosmetology). Baadhi ya wahitimu waliofika kwenye mahafali hayo walivikwa taji kama ishara ya mafanikio...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimesoma kuwa malipo ya korosho YATALIPWA TU kama mtu ni mkulima na ana mashamba ambayo yatahakikiwa. Kabla ya utaratibu huu mtu yeyote aliweza kupeleka korosho zake kwenye vyama vya msingi au...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wallahi nilikuwa sijui kwamba baadhi ya madaraja ni kizuizi cha mizigo mikubwa kwenda juu wajenzi wa miundo mbinu inayokatisha barabarà kama madaraja ya treni na nyaya za umeme mliangalie hili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama kweli mwenzenu nimethibitisha laivu zile semi za wahenga "baada ya dhiki ni faraja, pesa sabuni ya roho, pesa mwana haram!, mipango siyo matumizi, pata pesa tujue tabia zako" mimi kama...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Wakuu kama ulivosoma kichwa cha habari hapo juu. Naitaji kwenda south africa na kikubwa kinachonipeleka uko kuaso katika mpira wa miguu sababu naupenda. Maoni msaada wa mawazo kutoka kwenu wana JF
1 Reactions
105 Replies
11K Views
Mkuu wa wilaya ya Tunduru amesema diwani huyo alikuwa anawalaghai wakulima kwa kununua korosho kwa chini ya bei elekezi na yeye kukimbilia kuiuza serikalini. Diwani huyo wa UKAWA kwa sasa yuko...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani nawasihi tuache uanaharakati kwenye mambo ya kitaalam hasa pale tunapokuwa hatuna ufahamu wakutosha kwenye jambo husika. Lakini pia kwenye jambo lenye maslahi mapana ya jamii kama mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu Tunaomba msamaha kama tulimkosea huyu mzee, tumenyooka hata mia tano hatuiti tena jero,, tumejaa madeni kila kona,, kipato kimepungua na hatujui lini tumaini litarudi Unatwambia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete baada ya kuonesha mafanikio yake katika kilimo, leo hii ameonesha mifugo yake (ng'ombe) anaowafuga Kijijini Msoga, Chalinze. Inapendeza sana. Ng'ombe wa kienyeji...
6 Reactions
74 Replies
14K Views
Siku moja nikieleza machungu yangu kuhusu kupigwa risasi kwa mjomba yangu Tundu Lissu. Mtumishi mmoja aliniambia "huyu naye ana kiherehere muache atandikwe,kila siku yeye tu,eti anatetea...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
WAFANYABIASHARA watatu wamehukumiwa kwenda jela kutumikia kifungo cha miaka 20 baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kukutwa na meno ya tembo. Washtakiwa hao ni Amri Kigahhey, Jairan Rashidi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
By SPECIAL CORRESPONDENT THE leading Muslim cleric in Tanzania has condemned the alarming moral decay in the country, particularly homosexual practices, warning of looming disasters from God if...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Ili tusione labda kuna ' some double standards ' au ' unafiki ' au ' mahaba ' kwa Mtu fulani tunaomba sasa baada ya Kusaidiwa na Mgonjwa wa Afrika Kusini sasa kwa moyo huo huo tuhamie Kumsaidia na...
23 Reactions
48 Replies
4K Views
Pamoja na changamoto ya Ugumu wa maisha wanayopitia Waislam na Watanzania wengine kwenye kipindi hiki, lakini bado suala la ibada na kufuata makatazo ya Allah kwa kuyazingatia mafundisho ya Mtume...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Imeandikwa na Dr.Yahya Msangi (PhD). Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasikiliza Magic FM kipindi cha Sundowner jioni hii mara wanarusha tamshi la TCRA Kuanzia sasa wauzaji na watengenezaji (repairs) wote iwe wa radio,tv,simu,computer nk wa vifaa vya mawasiliano...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom