Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Heshima kwenu wanajamvi!! Moja kwa moja kwenye mada, Najiuliza huu utaratibu wa kutaifisha korosho eti mtu akishindwa kuonyesha shamba no ubabe au ujambazi? Je, inawezekana korosho zikalimwa...
19 Reactions
86 Replies
9K Views
Hivi nianzeje kununua bidhaa kutoka nchi za ughaibuni (China,Dubai,Japan nk)? Pia nianze na shilingi ngapi? Je njia hiyo ni salama? Niko mikoani je mzigo utanifikiaje? Nataka kuuza electronics Je...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Nimekuwa najiuliza Mara nyingi inakuwaje wafanya biashara wakubwa katika nchi yetu ni Waarabu na Wahindi Lakini pia Wachaga na Wapemba nao hawapo nyuma katika ujasiriamali.Ukiangalia sekta ya...
11 Reactions
135 Replies
23K Views
Faida ni nyingi kuliko hasara, kama wameweza kuhalalisha matumizi ya tumbaku ambayo ima madhara makubwa kiafya zaidi ya bangi. Faida za mmea huu ni kama zifuatazo 1. Kuiingizia nchi na mkulima...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuna mambo ya ajabu mbalimbali yanayotokea kwenye ulimwengu tunaoishi mpaka yanakufanya mtu kuwa na wasiwasi juu ya uhalisia (je ni ninaota au ndo uhalisia!) kifrika hayaingii akilini (kwanini...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Shikamoni wandugu. Kumekuwa na figisufigisu nyingi sana katika huduma ya chanjo ya homa ya manjano /chanzo ya kimataifa (Yellow Fever Vaccination),hasa gharama ya huduma hii. Gharama hiyo hapa...
3 Reactions
46 Replies
14K Views
Naomba kuwaulizeni hivi kuna ' Great Thinker ' wa kweli na aliyetukuka kabisa ambaye huwa anamuelewa Ansbert Ngurumo na yale yote ambayo ama huwa anayaandika, anayaibua, anatuaminisha nayo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yapo makosa machache Sana yasiyokuwa na dhamana wakati makosa mengi ni yale ambayo Yana dhamana. Mahabusu ni wengi zaidi kuliko wafungwa kwa sababu mahakama zetu zimeshindwa kabisa kujipanga...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mama mjamzito akisafiri kukaa muda mrefu sana kwenye gar anavimba miguu ili kuipunguza dawa yake nini?
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Japo huduma ya majeneza ni muhimu, ni vema ieleweke kuwa kifo hakizoeleki, kinaogofya, kinatisha. Hofu ya kifo huumiza mwili na akili. Huweza kumuongeza mgonjwa kufa mapema au hata kufa wakati...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi ni vitabu / machapisho niliyoyaandika kwa mwaka 2018; nawasihi watanzania wenzangu tuwe na tabia ya kuandika kwani vitabu ni hazina. Kesho na kesho kutwa watoto wetu wataendeleza kile...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Takbir!? Neno vita lina tafsiri moja tuu...! Ugomvi.. Penye vita hapana patano, hapana amani... Penye vita pana uharibifu wa mali na roho, majeruhi, ulemavu na vifo... Vita vinaharibu na...
11 Reactions
130 Replies
15K Views
Kuna kesi miaka ya hivi karibuni iliyokuwa ikimkabili jamaa mmoja maarufu kama Alex masawe mashtaka yake ilikuwa Ni mauaji,na Kama sikosei tundu lissu alikuwa Ni mmoja wa mawakili wa upande wa...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
CBSA officers seize heroin from suitcase at Calgary International Airport Colleen Schmidt, Supervisor | Online News Published Wednesday, December 5, 2018 10:43AM EST Updated Wednesday, December 5...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Wakuu naomba ufafanuzi lipi neno sahihi la uhalisia Kati ya :- 1. Aliyekuwa mke wa zamani wa Rais wa Marekani Barack Obama bibi Mishel Obama Au 2.Aliyekuwa mke wa Rais wa zamani wa Marekani...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekua nikifuatilia matangazo ya vipindi tvs channels za majirani zetu hasa kenya uganda na Rwanda kwa miezi karibu minne sasa Kiukweli tunapoteza vitu vingi mno kama nchi pengine ni muhimu...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari Wanajf. ================================= Nianze kwa kuwapongeza Watumishi wote kwa kazi Na Majukumu yote mnayoyatekeleza kwa kutoa huduma nzuri kwa wananchi Na kutekeleza vema Ilan ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, amesema ana hofu kuwa maelezo yake aliyoyatoa TAKUKURU yanaweza yasitumike kusaidia kuondoa tatizo la rushwa. Zitto...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu Jana nimefuatilia kipindi cha ITV kuhusiana mjadala wa kikokotoo cha mafao kwa watumishi pindi wanapo staafu. Kuna mchambuzi mmoja alikuwa kavaa nguo nyeusi , huu jamaa alieleza vizuri sana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana na bila shaka weekend imeenda mujarabu Niende moja kwa moja kwenye mada Juzi kuna rafiki yangu wa siku nyingi tulikuwa tumepoteana kitambo na hatukuwa na mawasiliano, sasa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom