MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Yapo makosa machache Sana yasiyokuwa na dhamana wakati makosa mengi ni yale ambayo Yana dhamana.
Mahabusu ni wengi zaidi kuliko wafungwa kwa sababu mahakama zetu zimeshindwa kabisa kujipanga kupunguza mahabusu Bali MPANGO mkakati wao ni kuongeza mahabusu ambao kwa kiasi kikubwa hawazalishi wala kufanya chochote na wengi wao baada ya kesi uthibitika hawana hatia.
Watu ambao wamekaa maabusu kwa miaka kadhaa wamekuwa wengi kwa sababu mahakama imekwama kuishinikiza Jamhuri kukamilisha uchunguzi kwa wakati.
Mahakama imekwama kabisa kuhakikisha kuwa makosa yaliyo na dhamana watu wanapewa dhamana kupunguza msongamano magerezani..
Msamaha wa wafungwa uende sambamba na mahakama kujitathimini kuhusu kurundika watu mahabusu huku serikali ikitulia na kuendeleza ngonjera za uchunguzi haujakamilika.
Kama uchunguzi bado, je ni nn nikinachopelekea kujua kwamba kosa flani limetendeka?wapo watu toka 2010 wapo mahabusu wakisubiri uchunguzi ukamilike, seriously nine years or three years huo uchunguzi unahusisha sayari nyingine?
Haki iliyocheleweshwa ni haki iliyopokwa