Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Blog mpya njoeni tuijaze maoni humoumo usisahau kulike www.issahblog.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Nimekuwa Kila Siku Nikishuhudia Tu Humu JF Habari za TANZIA au VIFO Vya Watu Fulani tu Ila Sijaona AU Sijawahi Hata Kuona Taarifa Za MMOJA Wetu Humu Kwenda Safari Ya Milele ( KUFA ) Sasa Swali Je...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Nimetembea leo mitaa ya posta ,kariakoo,Daladala na ubungo kila mahali watu wanamzungumzia Ibrahim pasha kila kundi la watu unaloliona basi jina la Pasha linatawala na nyuso za wadau zikiwa na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sijui ni mm au hata na wengine kila dk 5 inaingia massage Mara dakapesa.booopesa instmoja.biko.tatumzuka jamani tafuteni njia nyingine ya vipato na ole wenu zingekuwa zinajibika
2 Reactions
22 Replies
4K Views
BARUA YA WAZI KWA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JOHN POMBE MAGUFULI KUHUSU OPARATION KOROSHO 2018. NA RAMA ALLY NAHONHO, Mkulima na mtoto wa mkulima wa korosho. Mheshimiwa rais...
13 Reactions
41 Replies
7K Views
JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limetakiwa kufanya ukaguzi na uhakiki wa vibali kwa wamiliki wa silaha ili kudhibiti vitendo vya uhalifu, vinavyotokana na matumizi mabaya ya silaha hizo. Agizo hilo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mungu wetu sio mpenda kiki. Hufanya kazi zake kwa ukimya mkubwa sana kiasi kwamba baadhi ya watu hudhani kuwa Mungu hayupo. Mungu haitishi vyombo vya habari ili kujipa promo kwa yale anayoyafanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakati Jeshi la Polisi likimaliza Wiki ya Usalama Barabarani, wananchi wanatarajia kosa jipya linalogharimu Sh30,000; kutokuwa na stika ya usalama. Hili ni ongezeko moja kati ya makosa kadhaa...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Ukifika HOSPITALI YA MUHIMBILI kuna wodi inaitwa Sewahaji. Unamjua Sewahaji alikuwa ni nani?? Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha ujenzi wa hospitali ya Muhimbili. Alifika huku Tanganyika kupitia...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
1. The poor watch TV while the rich read The poor spend more time glued to their television set and in most cases, they devote their time watching programs that will add no value to their lives...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati mjadala wa sheria mpya ya mafao ukiendelea kutawala nchini, imebainika kuwa endapo mwanachama wa mfuko wa wa hifadhi ya jamii atastaafu kwa hiari, pensheni yake ya kila mwezi itapungua kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Couple ordered to turn over funds raised for homeless man Associated Press 1 hour 2 minutes ago...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa najisikia mara nyingi mtawala na wafuasi wake wakisema, hii ni " serikali ya wanyonge"!? Mimi Neno hilo kumwita binadamu mwenzio Mwenye maisha duni ama maskini "mnyonge"Naona kama ni TUSI...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Tuko ndani ya basi wanakuja watu wa usalama barabarani na kutoa maelezo ikiwa ni pamoja na namba zao ikiwa dereva anaendesha basi ovyo ovyo 0682887722 Wanapinga ajali kwa namna yote sote...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimenunua Umeme kwa njia ya Simu, Nimekosea Namba ya mita na kujikuta nimenunua umeme kwa mita tofauti, Nimepiga simu ya huduma kwa ateja nikaambiwa niende ofisi ya Tanesco, Nafika ofisi...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Jambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa...
8 Reactions
40 Replies
9K Views
unaletewa barua kama hii, usipotoa mapene zinaanza fitina
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani jamaa kachambua vizuri na kawavuruga wazee wa tucta ambapo mwisho wa siku wamejikuta hawana cha kuongea. Hawa watu wenye akili kubwa ndio wanapaswa kupewa teuzi za kiongozi. Mh .rais...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuoa au kuolewa haraka na bahati nzuri ukapata mtoto kwa age hii ndogo kuna faida kuliko kuchelewa. Maisha ya leo Life Expctance imekua tofauti na zamani hivyo unaweza pata mtoto ukiwa na Age ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Nimepoteza kitambulisho cha taifa,na nimesharipoti polisi,ofisi ya NIDA hapa mkoani,na nimeshaenda benki kulipia 20k kwa ajili ya kupata kitambulisho kipya. Swali Je...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Back
Top Bottom