MSAADA:NATAKA NIANZE KUNUNUA BIDHAA ONLINE

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,549
1,421
Hivi nianzeje kununua bidhaa kutoka nchi za ughaibuni (China,Dubai,Japan nk)? Pia nianze na shilingi ngapi? Je njia hiyo ni salama? Niko mikoani je mzigo utanifikiaje? Nataka kuuza electronics Je kuna ushuru natakiwa kulipia bidhaa kabla au baada ya kupokea bidhaa? Je naweza kupata mzigo kama nilivoagiza? Je bei ya online inakuwa ndogo kuliko ya hapa nchini?
 
ninavyojua amigo wako ukifika tanzania lazima ulipe kodi TRA, inategemea na thamani ya $ ya nchi husika ndio utajua unahitaji sh ngapi
 
Sijajua utaratibu wa 2018
Ila before hapo mzigo unatoka China wanauterm as a gift na unakuwa tax free
Kupitia posta.
 
Hivi nianzeje kununua bidhaa kutoka nchi za ughaibuni (China,Dubai,Japan nk)? Pia nianze na shilingi ngapi? Je njia hiyo ni salama? Niko mikoani je mzigo utanifikiaje? Nataka kuuza electronics Je kuna ushuru natakiwa kulipia bidhaa kabla au baada ya kupokea bidhaa? Je naweza kupata mzigo kama nilivoagiza? Je bei ya online inakuwa ndogo kuliko ya hapa nchini?
Mkuu pitia
alibaba.com
Amazon.com
Ebay.com
Upate details za bei
Ama mtafute mwl R.T.C
 
Sijajua utaratibu wa 2018
Ila before hapo mzigo unatoka China wanauterm as a gift na unakuwa tax free
Kupitia posta.
wow
mimi nilinunua used radio kwa $20 ebay ilivyofika bongo nililipia ushuru zaidi ya pesa niliyonunulia hahaha, na hapo ilikuwa imetumwa na rafiki anaeishi UK.
 
Ilipitia wapi?
Kama ni DHL lazima wakukate
 
yes DHL

pia niliwahi nunua lotion online bado posta walichaji ushuru qnikalipe TRA hahah
Pole aisee
Labda nilikuwa nabahatika ila niliwahi kuorder kama mara sita na sijakatwa tax
 
VP kama Iphone 7 kwa China au Dubai inaweza kuuzwa bei gani hela ya kbongo?
 
Pole aisee
Labda nilikuwa nabahatika ila niliwahi kuorder kama mara sita na sijakatwa tax
nimenunua pressure machine alibaba je watanipigia simu posta au utaletwa kwenye box nililojaza
 
yes DHL

pia niliwahi nunua lotion online bado posta walichaji ushuru qnikalipe TRA hahah
We ulibug DHL usafirishaji wao so expensive kusafirisha mzigo wa sandles pair 202 zile za kimasai zenye kilo 73 ni 1.84 milion na hapo uzuri zinaingia kule zikiwa free from tax kwa makubariano ya AGOA la sivyo mtu unakoma
 
ulitumia posta na ulipigiwa simu?
nilitumia posta sikupigiwa simu niliona kwenye tracking kuwa umefika posta nikafuata kesho yake nikapewa mizigo yangu miwili chaja za macbook na bp mashine zile digital nililipia 2500 pale posta. ila kuna wengine wanapigiwa simu au unatumiwa meseji na system automaic ila zinaweza jam ukiona mzigo wako umefika ww nenda tu posta.
 
Back
Top Bottom