Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rafiki zangu mada hii inahusu mambo ya utafutaji na inalenga zaidi maisha na uhalisia wa maisha ya kujitafutia kabla ya kufanikiwa. Karibuni sana, Sio kila mtu unaemuona anamiliki maduka,majumba...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Hicho kitu cheupe kwenye mguu sio kwamba kitu kimefungwa bali ni usaa uliotanda kuzunguka eneo hilo Kila nimipita Ubungo kurejea nyumbani muda ya jioni mara nyingi namuona kijana huyu akiwa na...
21 Reactions
128 Replies
14K Views
Kati ya mambo ambayo yanafanywa sana na watu bila ya kujua gaharama yake ni hili la kufanya agano la ndoa madhabahuni na huku kiumbe kikiwepo tumboni. Imekuwa kama ni jambo la kawaida sana...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi, Naomba kujua nauli ya kufika Zanzibar ukitokea Tanga ni bei gani?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Moja kati ya mambo ambayo yanachangia kurudisha uchumi wetu binafsi nyuma ni namna tunavosimamia mapato yetu,matumizi yetu na madeni yetu Mapato yetu yanaweza kuwa ni faida katika...
1 Reactions
1 Replies
581 Views
Leo ngoja niwaulize wanawake na waume zenu. Maana ukibahatika kukaa kwenye vijiwe vyao hasa wajawazito hofu yao kubwa ni kupoo wakiwa labour. Wanaogopa kweli. Wanawake wengi wanahusisha kupoo na...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
⚫Nasikia Umepata Kazi ⚫Nasikia Umenunua Gari ⚫Nasikia Mmeachana ⚫Nasikia Unajenga ⚫Nasikia This Nasikia That ... Mara Nyingi Watu Hawa Ndio Wachawi Huwa Hawapendi Kusikia Zuri Kutoka Kwako.
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora, John Utamwa amemwachia bila masharti mkazi wa kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega aliyekiri kumuua bila kukusudia mtu anayedaiwa kumbaka mkewe. Kabla ya uamuzi...
16 Reactions
74 Replies
16K Views
nauliza bei ya kupanga nyumba ya NHc makaz ya kuishi ni sh ngapi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Anayejua pls lipustic kama hizi aniambie bei sio lazima km hizo hapo pichani bali hata ambazo zipo level ya hizo
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wazungu husema a Picture speaks a Thousand words..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NENO KUHUSU CCM NA MEMBE Mengi yamesemwa kuhusu suala la CCM na Membe. Mambo yanayowahusu CCM wabaki nayo wenyewe. Ila ninaona wanavuka mipaka. Mtu wa CCM anapotoa ujumbe kuhusu suala la Membe na...
27 Reactions
64 Replies
10K Views
Habari zenu Kama kuna anayefaham jinsi ya kuifuta kabisa TBC isionekane hapa kwenye chanel list naomba anielekeze, kiukweli nikiifungua nakosa amani siipendi kabisa nahitaji ipotee kabisa kwenye...
13 Reactions
47 Replies
51K Views
Habari wakuu, Sitasahau siku niliyofananishwa na mdada mmoja huko kijijini kwetu. Ilikuwa hivi; Huyo dada alikuwa ni rafiki yangu na mara nyingi nilipokuwa nikipita naye watu walikuwa wakisema...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Tuesday, 07 June 2011 20:57 0diggsdigg Filbert Rweyemamu, Arusha MKUU wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Jenerali Mirisho Sarakikya ameitaka serikali kuangalia upya maslahi ya wanajeshi wastaafu...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
....Is this science(gravitational forces), witchcraft or man made...?? .....Je katika really world kweli inaweza exist au kiini macho? Au ni man made, mabeberu wametengeneza wapige pesa za utalii?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Enyi wanywaji wa Konyagi na K-vant ebu nisaidieni Sababu hasa ya kulaza chupa ya Konyagi mkiwa mnakunywa ni nini? Au ni mbwembwe tu za kinywaji? Lkn nimewahi kusikia ukiinywa huku ukiwa umelaza...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
'Mara zote nikipita njia ya Mikumi kurejea Dar es Salaam huwa napenda kusimama hapa Msimba kununua ndizi kwa hawa vijana' Dr Jakaya Kikwete
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Embu tuliza akili kidogo kwenye kusoma mada hii... Mungu katuumba kwa jukumu la kumtii amri zake na mafundisho yake... Kwa imani ya Dini yangu imekataza kwenda kwa waganga nimtegemee yeye...
0 Reactions
4 Replies
940 Views
Back
Top Bottom