Vita takatifu. Ni nini hiki?

Vita takatifu. Ni nini hiki?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,685
Reaction score
861,023
Takbir!?
Neno vita lina tafsiri moja tuu...! Ugomvi.. Penye vita hapana patano, hapana amani... Penye vita pana uharibifu wa mali na roho, majeruhi, ulemavu na vifo... Vita vinaharibu na kusambaratisha... Vita sio kitu chema! Vita sio kitu cha kujivunia... Vita ni uasi na kisasi... Vita ni ubabe na unyama...
Neno takatifu linatokana na neno utakatifu... Yaani njema, safi isiyo na mawaa, nzuri ya kutukuka... Isiyoangamiza inayoleta uhai... Yaani utakatifu ni jambo jema tena la kheri kabisa... Mikono ya mtakatifu ni safi na hainuki damu na mauaji kama mikono ya bwana vita! Penye utakatifu pana neema, hapana baya wala kisasi! Pana amani hapana taharuki.....
Mkanganyiko mkubwa unatokea pale unapotaka kuchanganya haya maneno mawili... Halafu yalete tafsiri isiyotatiza! VITA TAKATIFU...!

Misahafu ya dini zetu zote imeandika sana habari hizi... Habari za vita takatifu... Mapigano makubwa yaliyoangamiza roho nyingi na ushindi dhidi ya walioshindwa
Vita takatifu ni vita ya kiimani wema dhidi ya ubaya... Dhuluma dhidi ya usawa.. SHETANI dhidi ya MUNGU! vita takatifu ni vita ya imani kwenye ulimwengu wa roho... Sio vita ya macho..... Vita ya macho na kubeba silaha nzito sio vita takatifu... Vita takatifu silaha yake ni imani... Imani kuu kwa hakika.. Na ni vita inayopiganwa na WAAMINI dhidi ya .... WASIOAMINI.....

Kwanini sasa kuwe na vita inayoangamiza miili ya wanadamu, kuijeruhi, kuitia ulemavu na hata kuiangamiza? Kwanini iwepo vita inayoharibu mali na ustawi wa jamii ya nyama na damu? Na kwanini vita kama hiyo iitwe TAKATIFU? Utakatifu wake uko wapi?
Ulimwengu wa roho ndio injini kuu ya nishati inayoendesha ulimwengu unaoonekana kwa macho... Na ulimwengu huu wa roho ni timilifu... Hauna kasoro... Utimilifu wa ulimwengu wa roho ndio utakatifu.... Sasa ni katikati ya utimilifu huo wa roho na utakatifu wake... Ndio hutokea nguvu kinyume inayojaribu kuyumbisha ama kuangamiza roho timilifu katika utakatifu wake!
Hapa ndio tafsiri ya vita takatifu inapokuja... Vita ya kiimani iliyoanzia mapigano kwenye ulimwengu wa roho bila damu, bila... viasili vya mwili uharibikao...
kila roho inayoangamia kwenye vita takatifu ni ishara na ushindi kwa upande mmoja.... Na roho zote tarajiwa zinapoondoshwa kwenye mwili wa damu na nyama vita hukoma na kuanza kutafuta patano la amani mezani kwa njia ya mazungumzo... Bila silaha tena.....! Suluhu ya vita yoyote huishia kupatanishwa mezani... Na hapa ndio nguvu ya utimilifu wa ulimwengu wa roho katika dhana ya utakatifu inapojidhihiri....
Hivyo wapendwa vita takatifu kwa kigezo cha dini ni maneno yaliyopotoshwa ama kutumiwa na kaliba fulani hapa duniani kukidhi matakwa ya viumbe fulani
IMG-20180610-WA0066.jpg
 
Daaah leo wikengd naogopa nkochangia huu uzi safari yangu itanikwama buree wacha wale wa savanna waje watatoa majibu apa
 
View attachment 799385
Ngoja niwahi siti,kumbe hamna aliyewahi. WILL BE BACK
 
Lengo lako nini
 
Ati!! Ngoja nisome upya, labda kwa kua saumu kali sijaelewa
 
Hata Mungu alizichapa na Shetani, formely Lucifer kule mbinguni baada ya Lucifer kujikweza na kutaka kupewa sifa za uungu. I can't imagine there was a great controversy in heaven, pioneered by God himself.

God sent his people to fight other nations, innocent creatures, kids, women and elders were assassinated in the name of holy war.

Vita ya kiroho......!!!
 
Siku hizi nimeshikwa na pepo la ugumu wa kuelewa.
 
Hebu tuambie dhima ya ujumbe huu,,,

Maana siasa ni dini,, Dini ndo tabaka kuu baina ya viumbe watu. Kosa kubwa ukiacha kudadavua kidogo mkuu
 
Hata Mungu alizichapa na Shetani, formely Lucifer kule mbinguni baada ya Lucifer kujikweza na kutaka kupewa sifa za uungu. I can't imagine there was a great controversy in heaven, pioneered by God himself.

God sent his people to fight other nations, innocent creatures, kids, women and elders were assassinated in the name of holy war.

Vita ya kiroho......!!!
Mungu wa kupigana na viumbe wake mungu huyo fake,ni asiejua utukufu wa mungu ndo anaweza kuamini madai haya
 
Takbir!?
Neno vita lina tafsiri moja tuu...! Ugomvi.. Penye vita hapana patano, hapana amani... Penye vita pana uharibifu wa mali na roho, majeruhi, ulemavu na vifo... Vita vinaharibu na kusambaratisha... Vita sio kitu chema! Vita sio kitu cha kujivunia... Vita ni uasi na kisasi... Vita ni ubabe na unyama...
Neno takatifu linatokana na neno utakatifu... Yaani njema, safi isiyo na mawaa, nzuri ya kutukuka... Isiyoangamiza inayoleta uhai... Yaani utakatifu ni jambo jema tena la kheri kabisa... Mikono ya mtakatifu ni safi na hainuki damu na mauaji kama mikono ya bwana vita! Penye utakatifu pana neema, hapana baya wala kisasi! Pana amani hapana taharuki.....
Mkanganyiko mkubwa unatokea pale unapotaka kuchanganya haya maneno mawili... Halafu yalete tafsiri isiyotatiza! VITA TAKATIFU...!

Misahafu ya dini zetu zote imeandika sana habari hizi... Habari za vita takatifu... Mapigano makubwa yaliyoangamiza roho nyingi na ushindi dhidi ya walioshindwa
Vita takatifu ni vita ya kiimani wema dhidi ya ubaya... Dhuluma dhidi ya usawa.. SHETANI dhidi ya MUNGU! vita takatifu ni vita ya imani kwenye ulimwengu wa roho... Sio vita ya macho..... Vita ya macho na kubeba silaha nzito sio vita takatifu... Vita takatifu silaha yake ni imani... Imani kuu kwa hakika.. Na ni vita inayopiganwa na WAAMINI dhidi ya .... WASIOAMINI.....

Kwanini sasa kuwe na vita inayoangamiza miili ya wanadamu, kuijeruhi, kuitia ulemavu na hata kuiangamiza? Kwanini iwepo vita inayoharibu mali na ustawi wa jamii ya nyama na damu? Na kwanini vita kama hiyo iitwe TAKATIFU? Utakatifu wake uko wapi?
Ulimwengu wa roho ndio injini kuu ya nishati inayoendesha ulimwengu unaoonekana kwa macho... Na ulimwengu huu wa roho ni timilifu... Hauna kasoro... Utimilifu wa ulimwengu wa roho ndio utakatifu.... Sasa ni katikati ya utimilifu huo wa roho na utakatifu wake... Ndio hutokea nguvu kinyume inayojaribu kuyumbisha ama kuangamiza roho timilifu katika utakatifu wake!
Hapa ndio tafsiri ya vita takatifu inapokuja... Vita ya kiimani iliyoanzia mapigano kwenye ulimwengu wa roho bila damu, bila... viasili vya mwili uharibikao...
kila roho inayoangamia kwenye vita takatifu ni ishara na ushindi kwa upande mmoja.... Na roho zote tarajiwa zinapoondoshwa kwenye mwili wa damu na nyama vita hukoma na kuanza kutafuta patano la amani mezani kwa njia ya mazungumzo... Bila silaha tena.....! Suluhu ya vita yoyote huishia kupatanishwa mezani... Na hapa ndio nguvu ya utimilifu wa ulimwengu wa roho katika dhana ya utakatifu inapojidhihiri....
Hivyo wapendwa vita takatifu kwa kigezo cha dini ni maneno yaliyopotoshwa ama kutumiwa na kaliba fulani hapa duniani kukidhi matakwa ya viumbe fulani
View attachment 799385
Aya mambo ndo maana watu wakihoji nyie kina mshana mnaishia kututolea vifungu vya kirumi vile vyenye kututishia maisha na kutaka tuendelee kubaki ndimani ya box..

Mungu mwenye upendo, mwenye uweza wa kila kitu, mwenye hekima na busara ajabu, mwenye huruma ya ajabu. akatoa boko akaruhusu vita takatifu iwepo wauawe wazee wabibi watoto na wamama wasio na hatia daaa Mungu huyu
 
Sijaelewa ulichotaka kufikisha kwetu mkuu.
Lengo lako nini
Hebu tuambie dhima ya ujumbe huu,,,

Maana siasa ni dini,, Dini ndo tabaka kuu baina ya viumbe watu. Kosa kubwa ukiacha kudadavua kidogo mkuu
Nimeuliza swali as per heading... Vita takatifu ni ninini hiki? Kisha nikajaribu kuweka uchambuzi wa kufanunua.... Inawezekana kabisa nimetumia lugha ngumu isiyoeleweka na isiyo na hitimisho.. Lakini nia ni kuamsha mjadala.... Kwakuwa hata nyie hapa hii kitu mnaweza kushindwa kabisa kuipa tafsiri sahihi bila kuacha maswali
 
HiTiMisho Zuri ni bora kusema,,,,

Vita Takatifu ni ile inayolenga kuokoa kundi la watu wenye mabavu na uwerevu dhidi ya watu dhaifu na wajinga.

Kimsingi vita hii haina mwisho na haina solution.
Labda Tuseme Dunia ipo hivyo Sababu Hakuna Utakatifu wa Vita hiyo
 
Mungu wa kupigana na viumbe wake mungu huyo fake,ni asiejua utukufu wa mungu ndo anaweza kuamini madai haya
Vita ya kwanza kutokea ilikuwa kati ya Mungu na Lucifer, kati ya malaika wa Mungu na wale walioasi na Lucifer.

If that's true, then God failed miserably. Alipomshusha Lucifer/Shetani duniani, alimwachia mamlaka yote ya kuitawala dunia, yeye akaendelea kuitawala mbingu, kifupi walifanya ile "Berlin conference ya 1885 kama sikosei"..very strange, very strange!!!
 
Uwongo,mnasoma vitabu vya kihuni kisha mnaamini,ibilisi alishushwa duniani baada ya kukaidi amri ya mungu ya kumtaka amsujudie binaadam baada ya kumuumba,mungu akamshusha duniani na kumpa maisha ya milele mpaka kiyama atakapomtia motoni,ibilisi akaahidi kuwapoteza binaadam maisha yake yote,ibilisi ni miongoni mwa majini hakuwa malaika na ndio maana hakutii amri,ilhali malaika walitii
 
Aya mambo ndo maana watu wakihoji nyie kina mshana mnaishia kututolea vifungu vya kirumi vile vyenye kututishia maisha na kutaka tuendelee kubaki ndimani ya box..

Mungu mwenye upendo, mwenye uweza wa kila kitu, mwenye hekima na busara ajabu, mwenye huruma ya ajabu. akatoa boko akaruhusu vita takatifu iwepo wauawe wazee wabibi watoto na wamama wasio na hatia daaa Mungu huyu
Maisha ya dunia yana kanuni zake,hajatuleta duniani kisha akatutelekeza bila muongozo,katukataza kuuana,kudhulumiana nk
 
Sasa kwanini karuhusu chuki ziingie vichwani mwa watu, kisha izo chuki zipelekee watu wapigane iyo inayoitwa vita takatifu na wauane naomba tuanzie apa labda kwanini hakuona kuwa ni vyema kitu kinachoitwa chuki asikiumbe yaani kisiwepo binadamu asikifahamu kitu hiki????
 
Uwongo,mnasoma vitabu vya kihuni kisha mnaamini,ibilisi alishushwa duniani baada ya kukaidi amri ya mungu ya kumtaka amsujudie binaadam baada ya kumuumba,mungu akamshusha duniani na kumpa maisha ya milele mpaka kiyama atakapomtia motoni,ibilisi akaahidi kuwapoteza binaadam maisha yake yote,ibilisi ni miongoni mwa majini hakuwa malaika na ndio maana hakutii amri,ilhali malaika walitii
Kwa nini ibilisi asitii amri ya muumba wake? Huoni kuwa Mungu alifeli mtihani kwa kuumba viumbe ambao walikataa kumtii?
 
Sasa kwanini karuhusu chuki ziingie vichwani mwa watu, kisha izo chuki zipelekee watu wapigane iyo inayoitwa vita takatifu na wauane naomba tuanzie apa labda kwanini hakuona kuwa ni vyema kitu kinachoitwa chuki asikiumbe yaani kisiwepo binadamu asikifahamu kitu hiki????
Kwanini aumbe kiumbe(shetani) kisha kimzidi uwezo kwa kukataa kumtii yani uumbe kitu kisha kikatae kiwe na uwezo wa kukugomea lkn wengine wasikugomee huoni kuwa icho kimoja kitakuwa kina uwezo zaidi???
 
Back
Top Bottom