The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,293
- 20,256
Faida ni nyingi kuliko hasara, kama wameweza kuhalalisha matumizi ya tumbaku ambayo ima madhara makubwa kiafya zaidi ya bangi.
Faida za mmea huu ni kama zifuatazo
1. Kuiingizia nchi na mkulima mapato
Kilimo cha bangi kinaweza kuingizia nchi mapato endapo itazalishwa kwa ubora na wingi, tunaweza ku export kwenye nchi ambazo uzalishaji wake unasua sua. Ubora wa bangi upo kwenye effects zake tunaweza kuwekeza kwenye research tujue ni namna gani na maeno gani yanafaa kwa bangi bora. Nchi inakosa mapato mengi kwasababu hata walivyoikataza zinalimwa ekari za kutosha bado
Tunaweza kufungua viwanda vya kukausha na ku pack bangi kama ilivyo vya sigara
2. Ni nzuri kwa matumizi ya kiafya
Bangi ina faida nyingi kiafya kuliko tumbaku/sigara. Banginhaina vichocheo vinavyosababisha kansa ya mapafu, na pia tafiti mbalimbali zinaonyesha matumizi ya bangi yanasaidia kuzuia kifafa, kutibu glaucoma, kuzuia kansa kusambaa mwilini, kupunguza msongo wq mawazo, kusaidia metabolism, hivyo kupunguza unene na magonjwa yanayoambatana na hayo n.k
3. Bangi inasaidia katika kuchochea ubunifu, inachochea brain to function extra
4. Starehe kwa mvutaji
Wenzetu wameanza, wanaona umuhimu wake tusiwe wa mwisho na kukosa fursa zitokanazo na zao hili.
Nawasilisha