Nawasihi watanzania wenzangu tuwe na tabia ya kuandika kwani vitabu ni hazina

Tutor B

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
9,025
6,554
Hivi ni vitabu / machapisho niliyoyaandika kwa mwaka 2018; nawasihi watanzania wenzangu tuwe na tabia ya kuandika kwani vitabu ni hazina. Kesho na kesho kutwa watoto wetu wataendeleza kile tulichokiandika wakati wa uhai wetu. Kama una lolote la kuongea mbele za watu ujue kuwa unalo la kuandika kwa ajili ya kumbukumbu.
Vitabu na machapisho.jpg
 
Na kati ya vitabu hivyo; vitabu vinavyoongoza kwa kuchukuliwa sana ni viwili ...
JITAMBUE.jpg
 
Back
Top Bottom