cmases
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 1,765
- 1,440
Heshima kwenu wanajamvi!!
Moja kwa moja kwenye mada, Najiuliza huu utaratibu wa kutaifisha korosho eti mtu akishindwa kuonyesha shamba no ubabe au ujambazi?
Je, inawezekana korosho zikalimwa hewani na sio shambani? Nachukulia mfano kilimo cha mpunga huku Mbarali, kuna wakulima huwa wanakopa fedha kwa wafanyabiashara Kwa ajili ya kutayarisha mashamba na pembejeo nyingine na malipo huwa ni kupewa mpunga baada ya mavuno.
Sasa ni dhambi kwa hawa wafanyabiashara kuuza mpunga Kwa vile tu hawana mashamba??
Tuache ubabe na kukurupuka!!