"Everything men know about women" 25th anniversary edition.?
Mbali na kitabu hichi kuuzwa kwa mamilions ya nakala , na kuandikwa na msomi Mwenye ngazi ya udaktar yaan Dr.Allan Francis lakin ndan...
Wanajamvi
Habarini za wakati huu.
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari juu ya mwenendo mzima wa huyu mjomba wangu ambaye ni wa kwanza kwenye tumbo la bibi yetu. Nimetafakari jinsi anavyoiumiza...
Zamani tulikuwa tunatunza picha zetu kwenye album na pindi mgeni akija unampa anaangalia sasa hivi Facebook kama ndo album ya kisasa watu wanayotunzia picha zao h
Wakuu kwema?
Weekend hiyo hapo inakuja.
Naomba ushauri mtoto wangu wa kike ana mwaka mmoja na miezi 2 lkn anapenda sana kula mkaa.
Naomba kujua hasara au faida za kula mkaa kwa mtoto mdogo...
Habari zenu wanajamii forum,nimepata safari ya ghafla kesho nataraji kwenda morogoro ila itanibidi nilala kwa usiku mmoja,Bajeti yangu ni kuanzia elfu 15 mwisho kabisa 20,iliyopo maeneo karibu na...
Leo waungwanaa tubadilishane mawazo juu ya mbagala sekondari nimefanya tafiti ndogo nimegundua shule hii ya tarafa ilianzishwa mwaka 2004 ajabu hadi leo haina uzio
hali hiyo ya kutokuwa na uzio...
Habari viongozi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye Sheria ya Mipango Miji 2018 au "The Urban Planning Act 2018" anisaidie katika softcopy. Natanguliza shukrani za dhati
Tukizungumzia suala la demokrasia Afrika bado ni changa na liko gizani mno kiasi kwamba ni suala ambalo linaukakasi sana.
Tunapenda sana kuwa huru katika nyanja tofauti tofauti sana ,baadhi ya...
Wakuu .toka nianze likizo ni siku ya 3 umeme unakata vbaya mno,...hiv nyie tanesco,ndo mnakataga hiv kila siku ama?
Kujiandaa kotee kuangalia tv,maj barid,kiyoyoz,kugegeda...kwel mnakata umeme...
Pamoja na mengi mazuri yalifanywa na serikali ya awamu ya kwanza lazima tukubali ujamaa ilikuwa ni KOSA LA KIUFUNDI KABISA. Naaandika haya kwa kuzingatia kuwa ukiisema serikali ya awamu ya kwanza...
Waziri wa Nishati hivi karibuni kanukuliwa akisema "hadi kufikia tarehe 30 December 2018 Watu wote walioomba na kulipia Umeme maeneo ya mjini watakuwa wamefungiwa Umeme
Lakini hadi hivi sasa bado...
Habari wa kuu kuna gari ya jamaaa yangu ilipata ajali..... sasa tunataka kuhamisha body maana injin na gia boks havikuguswa naweza pata body ya mark x, verosa au hata brevis kama unayo njoo pm...
Hii nimeiona kwa watu kadhaa ambao rafiki zao ni wachina au jamii zinazofanana na wachina kama Wajapani na Wahindi. Ni tofauti kabisa na mtu aliyepata rafiki toka bara la ULAYA au America. Ukiwa...
Wajuzi wa mambo, hasa wachumi naomba kuuliza kwanini benki zetu zinatoza riba kubwa(19%-22%), Kwa wateja wanaochukua mikopo,Je kuna sababu zozote za kiuchumi zinazopelekea riba kuwa kubwa kiasi...
hili jambo naliamini kwa 100%. Nachukulia mfano wa kisiwa cha Mayote. Wakati Comoro inapata uhuru kutoka Ufaransa kisiwa cha Mayote kilipiga kura kubakia sehemu ya Ufaransa. Leo hii Mayote ni moja...
Nimesituka baada ya kusikia kwamba Mdogo wake na Rostam Aziz aitwaye ASSAD ABDULSUL AZIZI amepelekwa mahakamani jana kwa kosa la kukutwa na 92.2kg. Hapa naogopa kumupongeza Rais Kikwete lakini...
Katika karne ya 19 lilikuwa jambo la kawaida kwa wazungu kukusanya wanyamapori kutoka sehemu mbali mbali za dunia, na kisha kuwapeleka nyumbani kwao Ulaya kuwaweka kwenye makavazi ili waweze...
Bwana Mfugale tunaomba jibu!
Watu walioko kando kano ya barabara ya Pangani, walisimamishwa kufanya maendeleo yoyote kwenye nyumba zao baada ya kuwekewa X. Sasa yapata miaka! Mfugale, kuna lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.