Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Wimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi? Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Happy Mboya (38) amefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala na mwili wake kuzuiwa kutoka baada ya kugundulika kuwa na dawa za kulevya. Happy alifariki dunia...
10 Reactions
58 Replies
14K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa...
1 Reactions
115 Replies
26K Views
Kupitia kituo cha habari cha itv,serikali kuanza kusambaza dawa kinga ya UKIMWI mkoani mbeya ili kuwezesha watu wasipate ugonjwa huo. ===== SERIKALI imeanza majaribio ya dawa ya kuzuia Virusi...
7 Reactions
280 Replies
49K Views
It's like being in hell today I can't imagine my life without you dad
9 Reactions
68 Replies
6K Views
MBOWE: A POLITICAL PRISONER OR POLITICAL CONMAN? By Political Jurist Let me say at the outset, Mbowe is not and cannot be a political prisoner, rather a remandee like many other wananchis but he...
1 Reactions
3 Replies
765 Views
ALIYEKUWA Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye kwa sasa ni marehemu, Mhandisi Godfrey Majuto, amehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, mimi na mume wangu tuna idea ya kuanzisha shelli ya kuuza asali. Tutachimbia matenki chini na kufunga pampu kama wafanyavyo wa shelli za mafuta. Naomba mwongozo: tutahitaji kuiona mamlaka...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Baba Mtakatifu, Francis amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeya kuwa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya likiwa na Majimbo ya Iringa na Sumbawanga chini yake Katika hatua hiyo pia amemteua Mhashamu...
6 Reactions
41 Replies
14K Views
Madini aina ya Graphite yanayotumika kutengenezea vipuri vya magari na yanayozalisha nishati ambayo pia inatumika kuendeshea magari badala ya kutumia mafuta, yamegundulika huko wilayani Handeni...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Wadau hawa wathesalonike bado wapo?i NNimesikiaametajwa huko Macedonia kuwa wamepinga nchi yao kujiunga na Ugiriki Kwa mwenye kufahamu kuhusu hawa tafadhali tupe elimu. Asanteni.
2 Reactions
16 Replies
3K Views
mjengo wenyewe uhusishe mambo yafuatayo ambayo yataoa picha ya gharama halisi au zinazokaribiana na halisi. 1• ukubwa wa kiwanja 2• jengo linaloonekana na lile lisilo onekana yaani underground...
2 Reactions
81 Replies
7K Views
Happy Birthday Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Kassimu. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninakutakia miaka mingi zaidi, yenye kheri na mafanikio tele. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna jamaa wanatoka nje walitaka kusajili kampuni yao hapa ila leo wamefunga vilago na kwenda kwao mazima. Tunahitaji uchumi wa viwanda ila hamna anayefanya kazi kuleta uchumi huo. Sisi kuendelea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Najua sote tuna mategemeo ya kuishi maisha bora, tunajituma ama kujitoa kwa kila namna, kwa nafasi zetu na viwango vyetu vya elimu na mafunzo ya aina mbali mbali. Furaha yetu imezidi kutukimbia...
2 Reactions
0 Replies
977 Views
vvm said Wanasheria hii imekaaje, leo nimeona Barua ikisema wasanii fulani wamefungiwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa siku zisizo julikana, na Hoja yangu ni kuwa BASATA ina mamlaka hapa...
13 Reactions
202 Replies
21K Views
habari zenu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kama kuna mdau yoyote humu anaelekea dodoma siku ya leo kwa usafiri wake binafsi naomba msaada wa kiungwana,nitamlipa nauli...hali ni tete...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Napenda kuanza kwa kusema Jambo jema linapofanyika ni vyema kupongeza na kushukuru. Kama ni ukusanyaji wa kodi ulikuwepo tokea zamani lakini mambo hayakufanyika napendakwa namna ya pekee...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefika jioni pale Msamvu (stendi). Akatokea jamaa mmoja, .....aaah ticha vipi habari ya siku, najua unanikumbuka nilikuwa agent (wa basi hilo nililosafili nalo). Ulikuwa unakuja nakukatia tiketi...
10 Reactions
56 Replies
12K Views
Back
Top Bottom