Body ya Gari inahitajika

Body ya Gari inahitajika

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Habari wa kuu kuna gari ya jamaaa yangu ilipata ajali..... sasa tunataka kuhamisha body maana injin na gia boks havikuguswa naweza pata body ya mark x, verosa au hata brevis kama unayo njoo pm tuyajenge angalau upate hela ya sikuku
 
Back
Top Bottom