kamikaze
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 422
- 610
Wajuzi wa mambo, hasa wachumi naomba kuuliza kwanini benki zetu zinatoza riba kubwa(19%-22%), Kwa wateja wanaochukua mikopo,Je kuna sababu zozote za kiuchumi zinazopelekea riba kuwa kubwa kiasi hicho au ni utashi wa benki kujipangia kiasi cha riba kwenye mikopo?