Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

December 20th 2018 by:Emily Barrett In 1999, Richard Anthony Jones was convicted for the aggravated robbery of a woman in a Walmart parking lot. He served 17 years for the crime, all the while...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu, Nimecheki mshahara wangu nakuta pungufu ya 50,000. Nimemwuliza mwezangu na wengine wa taasisi zingine nao hivyohivyoo!! Inakuaje mishahara inakatwa bila taarifa?
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Mnatakiwa Kuendana na Muda na Muwe na Washauri wazuri wa Hali ya Uchumi kama Jamaa wale wa Forex wanavyofanya Analysis basi na Wewe unatakiwa kufanya hivyo hivyo. Sasa hivi wanaotamba na Hali...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa,wana jukwaa habaribza jumamosi. Kama ilivyo ada ya watanzania kukaa na kupiga story mbili tatu, mimi mwenzenu leo nimeibuka na kumbukizi ya Daktari wetu mpendwa Louis Shika. Yuko wapi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JE WEWE NI MMOJA WA WANACHUO WALIOSOMA MZUMBE TAWI LA DAR ES SALAAM CAMPUS COLLEGE? ULIKUMBANA NA CHANGAMOTO GANI KATIKA KIPINDI CHA MASOMO YAKO?
0 Reactions
2 Replies
770 Views
ni jana tar 20/12 mida ya 2330 niliwabembeleza niwape elfu 30 wakanikazia elfu 50 ili nipitishe gari wasalaaaam kwao
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa . . ni wakati muafaka wa sisi wachaga kwenda moshi kama kawaida mwisho huu wa mwaka . . Huu ni utamaduni nzuri mno sio kwa wachaga tu hata kwa jamii nyingine kama wakikuyu nk . ...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Weka like hapa endapo unafatilia tamthilia ya Sultan
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,ameuagiza uongozi wa halmashauri ya jiji la Arusha,kuhakikisha inawalipa fidia wananchi zaidi ya 20 wa kata ya Olasiti kiasi kinachofikia sh,bilioni 1.7 ili...
1 Reactions
1 Replies
976 Views
Kiukweli nahisi hapa tafsiri hii haina uhalisia na nadhani aliyeasisi msamiati huu hakuwa sahihi. Mimi ninavyojua, BINGWA ni asiyeshindwa katika fani yake. Mfano Bingwa wa mieleka maana yake...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Mzuqa Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda. Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
MTANDAO wa Mashirika ya kupambana na matumizi mabaya ya pombe nchini (TAAnet) imetoa wito kwa Serikali kutunga sera juu ya kudhibiti matumizi mabaya ya pombe katika mkutano uliofanyika jijini Dar...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni kama vile vijana wengi wakiafrika walivyokuwa waki-copy lifestyle za waamerica weusi sanasana miaka ya 90 mpaka 2000, tulishuhudia mpaka wakibadili namna ya uvaaji iendane na ile ya wamarekani...
3 Reactions
75 Replies
8K Views
wiseboy utafiti na wadau wengine mnaoamini kwamba watu tumeubwa na Mungu naomba mnijuze aliyeumba uchawi ni nani? na mtu wa kwanza kueneza uchawi hapa duniani ni nani? Kama ni sheteni...
0 Reactions
48 Replies
33K Views
Habari wanaJf. Kumekuwa na tabia baadhi ya wanafamilia kukataza watoto wao wadogo kuzungumza lugha za asili ya makabila yao eti wakihofia kutozungumza kiswahili fasaha hapo baadae. Utakuta mtoto...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Mjadala: utata kati ya ‘’kuweka akiba’’ na ‘’tunaishi mara moja au maisha ndio hayahaya’’ Wasalaam, Ninauleta mjadala huu ambao kwa karne na miongo kadhaa wanadamu wamekuwa wakijitahidi kuishi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Dara es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh188.9bilioni kupitia mashine ya risiti za kielekroniki (EFD) inayomkabili mfanyabiashara Mustapha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom