SHERIA YA MIPANGO MIJI 2018

SHERIA YA MIPANGO MIJI 2018

mwakizega

Senior Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
165
Reaction score
84
Habari viongozi. Naomba msaada kwa yeyote mwenye Sheria ya Mipango Miji 2018 au "The Urban Planning Act 2018" anisaidie katika softcopy. Natanguliza shukrani za dhati
 
Nimejaribu bila mafanikio mkuu
kama google umekosa basi haipo! na kama ipo itakuwa haikuhusu! 2018 hakuna sheria mpya ya mipango miji iliyopitishwa! kuna kanunu ndogo ndogo lakini siyo sheria zioizowekwa
 
Ahsante kwa kunielewesha. Nilimaanisha kanuni mkuu. Nashukuru pia kuna mdau kanitumia tayari
kama google umekosa basi haipo! na kama ipo itakuwa haikuhusu! 2018 hakuna sheria mpya ya mipango miji iliyopitishwa! kuna kanunu ndogo ndogo lakini siyo sheria zioizowekwa
 
Back
Top Bottom