Hii likizo au kupoteza muda? Umeme unakatika siku nzima jamani?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu .toka nianze likizo ni siku ya 3 umeme unakata vbaya mno,...hiv nyie tanesco,ndo mnakataga hiv kila siku ama?

Kujiandaa kotee kuangalia tv,maj barid,kiyoyoz,kugegeda...kwel mnakata umeme siku nzima,usiku na mchana..hiv mtu unagegedaje namuna hii..

Hata raha hakuna,daaah...

Mimi nasemaje...dah,ngoja nikaushe tuu,.

Sasa umeme unakata saa kumi usiku,..wengne tunatumia Ac kufukuza mbu..sasa hapa nakula jeur yangu .mbu kama wote
 
Hiv wewe una kijijini kwenu au ulizaliwa mjini? Mijitu mingine bwana yani msimu wa sikukuu wewe bado upo mjini unalamikia mbu na umeme? Emu jitaidi ukasalimie wazazi uko kijijini kwenu katerero.
 
Hiv wewe una kijijini kwenu au ulizaliwa mjini? Mijitu mingine bwana yani msimu wa sikukuu wewe bado upo mjini unalamikia mbu na umeme? Emu jitaidi ukasalimie wazazi uko kijijini kwenu katerero.
Mi nmezaliwa hapahapa,wazaz wako hapahapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom