FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 41,026
- 47,152
Je, kanuni za BASATA zinasemaje kama TCRA atashindwa kutimiza wajibu wake?
Wataifungia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Je, kanuni za BASATA zinasemaje kama TCRA atashindwa kutimiza wajibu wake?
Wataifungia TCRAWataifungia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VIDEO YA NYEGEZI INAPIGWA NA TRACE KILA SIKU SABABU IPO KWENYE TOP 10 ZAO HIVYO TANGU JUMAPILI NAONA INACHEZWA KAMA KAWAIDA.Je, kanuni za BASATA zinasemaje kama TCRA atashindwa kutimiza wajibu wake?
Ndo hapo sasa mkuuSikujua ubaya wa huo wimbo mpaka siku nilipokaa na bi mkubwa kisha mwenye bajaji akaanza kuupiga. Niliomba flash ya bodaboda iingie virus
Wanadhani iko kwamtogoleWataifungia TCRA
WameshachemkaaaWanadhani iko kwamtogole
Kenya kuna sehemu inaitwa Kakuma na wanaongea kiswahili, ni mapokeo tu ya wabongo.Kama hawapendi Jina la nyegezi waufute na mta wa nyegezi
HahahahahKule moshi kuna sehemu inaitwa
Uchira nataka ni release ngoma yangu inayoitwa uchira
Yaani, uchi uchi uchiii
Uchi uchi uchira
Kwetu moshi uchira
Ila ngoja kwanza nipeleke mashairi kwa basata