Nini kusudio la kitabu hichi kuhusu wanawake

Nini kusudio la kitabu hichi kuhusu wanawake

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
"Everything men know about women" 25th anniversary edition.?

Mbali na kitabu hichi kuuzwa kwa mamilions ya nakala , na kuandikwa na msomi Mwenye ngazi ya udaktar yaan Dr.Allan Francis lakin ndan yake hakuna kitu chochote alichokiandika (blank page)
Lakin mbal na hilo kilifanikiwa kuingia sokon na kununuliwa.
 
ahahhahaa uzuri baadhi yenu wanatuelewa sana sana ..pole zenu msotujua[emoji4]
Bisha hiki nitakachoandika.

Mwanamke hana ratiba, anaweza kutoka nyumbani amepanga aende sokoni njian akakutana na mwanaume wakatongozana akaenda kulala kwa huyo mwanaume na sokoni asiende.
 
Kiweke hapa tukione
Nimekosa softy copy mkuu ila tizama hizo screen shot
Screenshot_20181221-210409.jpeg
Screenshot_20181221-210418.jpeg
 
ngoja nkamuulize mke wangu nani mwingine anayemjua vizuri tofauti na me
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom