Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKUU wa Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Kippi Warioba, ametuhumiwa na wananchiwa Kijiji cha Chekereni Weruweru, Kata ya Kindi kuvamia na kuvunja ofisi ya kijijihicho na kuchukua nyaraka...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi, Salaam Tunapoelekea kuumaliza mwaka huu 2018; hebu tujikumbushe maneno, sentensi ama majina yaliyotumika zaidi mwaka huu. Nitaanza; Watapata tabu sana CCTV Hajulikani alipo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania kwanza, ujenzi wa miundombinu ndio kipaumbele chetu. Hiyo mishahara mtaipata tu, ngoja kwanza tushughulikie miundombinu ambayo ni faida kwetu na vizazi vyetu vijavyo. Mzee baba...
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Kabla hujaingia kwenye mikataba ya ndoa, naomba nikupe wosia huu kama Babu yako. 1). Ujue ndoa siyo sanaa za maonyesho. Japo dini yako inakuhamisha anyhow, lakini kumbua athari za maamuzi...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Wasalaam, Kwanza nianze kwa watakia kila laheri na mandalizi ya sherehe za mwisho wa mwaka na pia kuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2019 watanzania wote. kwa kumkumbuka rafiki, shemeji na mdogo...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Yeeees,ile issue ya kuletewa msaada wa ARV kwa hisani ya watu wa marekani ipo a minute away kupotea,tunasubiri tu kauli ya kishujaa kutoka kwa jiwe kwamba hii ni nchi huru isipangiwe cha kufanya...
32 Reactions
99 Replies
14K Views
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaak Kamwelwe, amesimamisha likizo za marubani wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) katika kipindi cha mwisho wa mwaka Amesema marubani wa ATCL ambao...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Tulianza kupigiwa story za local channels kuvunja Sheria zilipokuwa zinaonyeshwa kwenye ving'amuzi. Mara paapu tukaaminishwa tutaziona free Mara paapu tukaambiwa tutarejeshewa pesa zetu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mifuko imetoboka. Jumamosi ni 22/12/2018 - mshahara ni ngumu kutoka ; Jumapili ni 23/12/2018 - mshahara ni ngumu kutoka. Ijumaa ni 21/12/2018 - haijawahi kutokea mshahara ukatoka tarehe 21...
4 Reactions
100 Replies
10K Views
JARIDA maarufu duniani la biashara la ‘Forbes’ limetoa orodha ya watu kumi maarufu walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2018. Orodha hiyo imejumuisha watangazaji, wanariadha, wanamuziki...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
SEHEMU YA PILI ZIFAHAMU SABABU ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KUKUJENGA ILI KUYAFURAHIA MAISHA. Katika sehemu ya kwanza niliangazia sana “baadhi tu” ya maeneo ambayo tunakuwa tunayatarajia sana kama...
20 Reactions
35 Replies
11K Views
BASATA kama mnaweza kukomesha vigodoro na singeli huku mtaani baadhi yetu vinakera, wamama, wadada na watoto wadogo wa kike wanakatika viuno vyao wengine uchi, wengine madela uchi hadi kero...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Ingetokea Bongo hii makuwadi wa ushoga na soko huria, wangetoa famko la page 200[emoji3] SOMA SASA HAPO[emoji652]️ 7-year-old migrant girl taken into Border Patrol custody dies of dehydration...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Tangu nilipoanza kupata ufahamu ,kunakitu huwa sikijui vizuri ni kile kitendo cha mtu akifa na siku ya mazishi yake ndugu na jamaa huitwa kwa ajili ya kutupia mchanga kabulini je kitendo hiki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania kama ilivyo ada katika ubora wenu kulaumu... hii sasa ni fursa yenu kuweka zile lawama zenu juu ya viongozi na serikali kama kawaida yenu..... Ngoja niwafungulie dimba kwa kuanza na...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekutana na mlimbwende wa nchi hiyo ambaye hivi majuzi ameshinda taji la mlimbwende bora wa Afrika. Quiin Abenakyo alitawazwa kuwa Miss Uganda mwezi Agosti na...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mara leo imewahukumu Watuhumiwa wanne wa ujambazi wa kutumia silaha kutumikia kifungo hicho jela Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi, Staneley Mwakihaba...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za mda wadau Kwa kusikiliza hotuba za muheshimiwa mkuu wa nchi, kwa wale wakazi wa dar es Salaam wajiandae kisaikolojia kwamba mkoa utakuja kuwa wa gharama zaidi kuliko ilivyo hivi sasa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kiumbe anayeweza kuishi baharini na katika nchi kavu amepewa jina la Rais wa Marekani Donald Trump, ingawa huenda kiongozi huyo asitake kuhusishwa na kiumbe huyo kutokana na sifa zake. Amfibia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom