Prophet Sheppard Bushiri vs T.B. Joshua, nani ana awaumini wengi zaidi duniani?

kuna jinga fulani hv nilisoma nae anaitwa Bushiri, huyu jamaa siku akifa naahidi kumtolea rambirambi ya sh 2m mana alikuwa ananifurahisha knoma noma
 
kuna jinga fulani hv nilisoma nae anaitwa Bushiri, huyu jamaa siku akifa naahidi kumtolea rambirambi ya sh 2m mana alikuwa ananifurahisha knoma noma

Mkuu tunaomva umuelezee bushiri kidogo hapa tupate kujua abc zake tokea yupo shule..
Naskia ni mchaga na ni mzaliwa wa hapa tanzania
 
T.B Joshua ndio ana misukule mingi maana kuna mingine akiwa "anahubiri" inaenda kubusu TV ili ivune "baraka"
 
Back
Top Bottom