Nimekuwa mfuatiliaji sana na matukio mengi kupitia live stream pale viongozi mbalimbali wanapokuwa wanaongea na waandishi wa habari kupitia vyombo mbalimbali vya habari huku wengi wao wakiwa...
Heri ya mwaka mpya nduguzanguni, natumai sote ni wazima na hatuna budi kupeleka shukran zetu kwa mungu alietuwezesha sisi kuweza kuuona mwaka mwengine kwani wapo wengine waliotaman kuufikiamwaka...
Yapo mambo mengi ambayo watu hubadilika na kuacha lakini SIYO ROHO MBAYA!
Tabia nzuri au mbaya chimbuko lake ni MATAMANIO (needs), Tabia za kimatamanio zote binadamu anaweza kuziacha lakini siyo...
Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:-
1: Watu wa Botswana, ni wapole...
KATIKA mwaka 2018, serikali imeacha alama kubwa na muhimu za kimaendeleo katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, bwawa la kuzalisha umeme wa Mto wa Rufiji pamoja na ujenzi unaoendelea wa reli ya...
RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuufanya Mwaka Mpya wa 2019 kuwa mwaka wa kazi kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali kama vile kilimo, biashara, uvuvi na nyinginezo ili kujiletea...
Mzuqa
Kila siku natafuna machenza kama 15 tangu zianze kuingia sokoni mwezi uliopita. Ni tunda tamu sana unakuta kama hayo machenza ni nayokula 15 utakuta moja au mawili yana mbegu ndani na...
Ukweli ni kwamba raia wengi ni waoga mno karibia kwenye kutenda kila kitu.
• Madereva ni waoga (uzoefu wangu barabarani unaonyesha wengi wakimuona traffic police wanafunga breki hata kama hawana...
Mtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake
----
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, hatimaye amesema...
Kila mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake kwa kukubaliana au kutaa hoja inayotolewa na upande wa pili.Muda si mrefu nilikuwa mitaani/kijiwe cha watu wenye kaliba na rika tofauti.
Wengine...
Baa tano zafungiwa Wilaya ya Mjini na Magharibi B Unguja
January 3, 2019
Mahakama ya Vileo Zanzibar imezifungia jumla ya baa tano kwa wilaya ya mjini na Magharibi B na kuzipa vibali baa 33...
The typical symptoms of over masturbation includes chronic fatigue, weak erection, thinning hair, and much more.
Most of us get headaches from time to time. They can result from injury, stress...
Ndugu Isaac Zumba wa Ngarenaro, Arusha, anatangaza kifo cha Mke wake, Amabilis zumba ambaye ni mdogo wake na Mama Regina Lowassa
Kifo hicho kimetokea jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili...
Swali langu kwa wenye kufahamu kuhusu sheria,taratibu au kanuni zinazotumika kubandika Gundi zinazoakisi mwanga (reflector stickers) kwenye magari ya kubebea abiria au magari ya mazigo upande wa...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua mashine tano za mionzi (X-ray) za kidigitali katika Hospitali za Rufaa za mikoa mitatu na mbili za wilaya.
Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika...
Wengi tunajua changamoto za gerezani. Sio sehemu ya kawaida na kwa tafsiri ya kawaida ni sehemu ambayo watuhumiwa uwekwa ili kujutia makosa waliyoyafanya. Je hali ya mazingira kwa wenzetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.