Ushauri wangu kwa TRA; Wafungue darasa la biashara

Risk vs Return

Senior Member
Apr 23, 2012
106
71
TUWAOMBE TRA KUWA NA BIASHARA-DARASA KWA AJILI YA UTAFITI

Wadau ni matumani muko salama na mwaka mpya 2019,

Ombi langu kwa wadau wa kodi , TRA, Serikali n.k ili kuepuka msuguano uliopo hadi wafanyabiashara kukata tamaa, kufunga biashara n.k

Tuwaombe TRA, na mamlaka zingine za kodi, kuweka biashara-darasa(Pilot Project) za biashara tofauti tofauti angalau zile maarufu ili kuwapa data za uhalisia kwa sababu kila data wanazopewa na wafanyabiashara huzipinga sana na kuja na zao za ajabu ajabu sana .

Then wanaweza kutengeneza model ya TAX CALCULATION kama ile ya magari kwa ajili ya VAT na Corporate Tax Examination/Auditing

Ni vema jamiii ikajua kwamba tatizo kubwa kwa wajasriamali SME's sio makisio ya kodi ya mapato HAPANA SANA , wala sio VAT return/monthly payments HAPANA
TATIZO Kuwa sana ni Examination na Auditing hii kitu ndio inauwa kabisa ukuwaji wa uchumi (nchi)na hawa kwa WAZAWA.

Hapo ndipo unakuta mtu mtaji 30mln TRA inakuja na madai ya 400 mln
 
MAWEEE, SERIKALI GANI IKUWEKEE BIASHARA DARASA ?

HAPO NDIYO KODI HAITAPATIKANA KABISA UJUE, TUNAENDA HIVI HIVI TU 😂
 
Tumeshafungu ya ununuzi wa korosho au wewe ulitaka ya namna gani au ya kujitoa ufahamu kama Hamis K kwenye kikokotoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom