Hii tabia ya mabenki kufunga kamba kwenye kalamu zinazotumiwa na wateja hapo benki inanikera sana.
Sisi kama wananchi tumewaamini na kuwapa dhamana ya kukaa na mamilioni ya fedha zetu, kwanini...
Baada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa
Zile tiketi zinazokuwa zimechanwa kwa juu zinarudishwa pale wanapokatia tiketi na sasa unapewa tiketi ikiwa...
Nitangulize samahani kwa nitakayoyasema, lakini ni kwa lengo la kujenga. Swali hili hunirudia mara kwa mara ninapoangalia vipindi kwenye runinga zetu na kuona karibu WOTE hawajui wanachokifanya...
Shule ya Sekondari Vijibweni iliyoko wilaya ya Kigamboni jijini Dar Es Salaam ni mwezi sasa wanafunzi wa kidato cha kwanza hawajawahi kusoma somo la hisabati tangu wajiunge na shule hiyo tarehe 7...
Huu mradi ulipata upinzani mkubwa sana kipindi ukitekelezwa, hivi ulishaisha!
Tuliahidiwa baada ya huu mradi UMEME KUKATIKA NI HISTORIA NA BEI ITAKUA NDOGO sijui kama yamekua real au ilikua...
Serikali imerithia upandwaji wa ekari 50,000 za mikaratusi kwa ajili ya kusafirisha magogo kwenda Japan.Sina hakika kama maslahi ya Taifa yalizingatiwa na wahusika kwa vile mradi huu ni hatari...
Katika kuchangia hoja Bungeni Mbunge Joseph Musukuma amesema kuna 'digrii' za makaratasi na zinasumbua (tazama kwenye video clip hapo chini).
Hivi maana ya 'digrii' ya makaratasi ni ipi hasa? Na...
Kwa watumiaji wa IG, ni kuwa kuna mdau mmoja anayejulikana kwa jina la Kwinyara ana amekuwa akitoa machapisho mbalimbali, ya kuikosoa sirikali mara kwa mara! Lakini hivi sasa mdau huyu haonekani...
Habari za asubuhi Wakuu
Kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa uso eneo la kwa Wagogo Bunju jijini Dar, Barbara ya Bagamoyo
Hivyo kuna foleni kubwa kwa wale...
Wakuu salaam
Katika kuboresha jiji tarajiwa la Moshi, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi inatarajia kujenga kituo kikubwa cha mabasi kitakachokuwa kikubwa zaidi kuliko vyote Afrika Mashariki na...
Hii ndiyo elimu bure, watoto kusomea chini ya mti!
My take:
(1) Hela za kununua wapinzani na kurudia chaguzi zipo
(2) Pesa za kununua ndege kwa Cash bila mkopo zipo
(3) Pesa za kugawa mtaani...
Nimesikia Waziri wa mambo ya Ndani akiongea Bungeni kwamba mauaji ya Njombe yasihusishwe na Imani za kishirikina, wafanyabiashara au ushirikina kwani kufanya hivyo kutazua taharuki na kuwaumiza...
Kuna changamoto nyingi sana katika biashara yangu hii ya chipsi,
Lakini changamoto kubwa kuliko zote ni hii changamoto ya watoto wakali wenye Chura aiseeee hii biashara ina majaribu sana...
Hatutaki double standards
Rasta ni sehemu ya imani yetu. Iruhusiwe kuanzia primary hadi vyuoni. Nina haki ya kueleza imani yangu bila kuvunja rules hivyo msifute
Mzuqa wanaJF
Nimesoma sehemu wanasayansi wamefanya tafit nakugundua kuna hifadhi ya shehena ya Almas ya kutosha iliyokaa kibwererebwerere maili mia ama kilomita 130 kwenda chini. Yani ni kama...
Huyu jamaa amekuwa na kiburi cha ajabu sana hasa kwenye kutumia fedha za Serikali kinyume na taratibu za fedha na bajeti.
Nchi hii ina wasomi wengi sana wenye uwezo wa kufanya kazi, sasa kwanini...
Hii tabia ya wazazi/mtu mzima kumuamkia mtoto eti kwa madai kwamba atakumbuka kukusalimia endapo amesahau SI SAWA hata kidogo,mtoto mwambie akuamkie kama amesahau lakini acheni hizo tabia za...
Nchi hii bhana yaani kuna mtu amekaa akawaza weee na kuwazua akaona kwamba kusoma vyuo kama Oxford,Cambridge na Havard ndio unaweza mshauri Rais wa Tanzanaia
Wanasahau kwamba HAKUNA Rais hata...
Hii ya Monsanto kutuletea mbegu zinazotengenezwa maabara ili zitumiwe na wakulima haikubaliki na tunapaswa kupinga kwa akili na nguvu zetu zote.
Ndiyo, tuwapinge hawa Monsanto sababu mbegu za GMO...
wana JF,
Ishu ya watu wengi kutamani sana wanawake wenye sura nzuri zenye mvuta au wenye maumbo mazuri yanayovutia uja baadaye kujuta kwa kutoridhishwa wanachokikuta wakati ameisha waoa au kukuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.