Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali imesema mashamba sita yanayomilikiwa na Mfanyabiashara Mohamed Dewji yapo chini ya uangalizi na iwapo atashindwa kutekeleza masharti watayafuta. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ardhi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
MOROGORO: Kijana mmoja dereva wa bodaboda ambaye jina lake halikufahamika mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20, amepokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali wakimshutumu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
By T. Harv Eker Book- Secrets of the Millionaire Mind. 1. Tajiri huamini yeye hutengeneza maisha yake,masikini huamini maisha hutokea tu, huamini kuna mtu inabidi afanye kitu ili awe tajiri...
7 Reactions
33 Replies
9K Views
MKURUGENZI Mkazi wa Benki ya Dunia (WB), Bella Bird ameridhishwa na maboresho ya ujenzi wa gati namba 0 hadi 7 katika Bandari ya Dar es Salaam ambapo mpaka sasa kazi yote ya ujenzi huo ime kia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Deleted member 536137
Rais anasema kwamba vyombo vya habari vipo huru kutangaza na kila kitu lakini anasahau kwamba chombo cha habari ni waandishi wa habari, Je yeye kama Rais wa nchi amewahi jiuliza kwanini mwandishi...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Kama ntakuwa nimekosea naomba mnisamehe wajameni. Waafrika wengi kinachotuponza ni ulafi yaani kula sanaa. Mfano tu chukulia watumishi wa umma, mida ya breakfast kwa mama nitilie utamkuta...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kazi ya TISS sivyo kuhakikisha kwamba RAIS hachukizwi na maneno ya watu. Kazi ya TISS ni kumshauri Rais wananchi wanasema nini ili aweze kurekebisha POLICY zake. Hawa wanataka nisiende Law Day kwa...
30 Reactions
247 Replies
46K Views
Ndugu zangu mzunguko wa hela umekuwa shida sana kwa sasa mitaani. Kwa kweli fedha hakuna kila mtu ni kulalamika tu. Leo nimefika Benki fulani kwanza nimemkuta Meneja hana raha kabisa kisa...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
HAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu wakati zipu ina meno na haiwezi kupigwa mswaki, wereeee reeeee! Shoga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dakika kumi zilizopita kulikuwa na vurugamai ya ajabu kituo cha shule Vijana waliovaliashati nyeupe na suruali nyeusi walimkamata mama mmoja akiwa anashusha ndugu yake kituoni Wakataka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Yani mtu anapambania uhamisho, anataka asogezwe karibu na familia yake hasikilizwi wala nini lakini ikitokea amefariki eti ndo asafirishwe mpaka kwao tena kilazimalazima. Usumbufu mtupu watu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
MABADILIKO YA BEI ZA NISHATI YA MAFUTA Beiza mafuta yanayopitia bandari ya Dar es Salaam zimepungua kwa mwezi wa pili mfululizo na kufikia shilingi 2,120 kwa lita moja ya petroli, 2,080 kwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Hii ina maana gani?. Pamoja na misimamo na ubabe wa binadamu yeyote yule anaofanya dhidi ya wanyonge . Mbabe hutokaa milele hapa duniani. Ni bora kuishi kwa upendo na binadamu wengine ambao ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto anayekadiliwa kuwa umri wa miezi 7 amekutwa ameuawa kikatili na mwili wake kutelekezwa katika kontena la taka lililopo soko la kihesa manispaa ya iringa. Akizungumza na mtandao huu...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaffar Haniu hongera kwa majukumu mapya hapa African Media Group na kwa kiasi Fulani umeanza vizuri kwa kutumia uzoefu uliopata TBC na ofisi kubwa uliyotoka kabla ya kuja hapa ikiwa pamoja na...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
22 OCTOBER 2016 The Citizen (Dar es Salaam) Tanzania: Plastic Bags Ban Still Jan 1, Says Govt Tagged: East Africa Environment Governance Legal Affairs Tanzania By Athuman Mtulya Dodoma —...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepata message asubuhi et nimeshinda na sijawahi cheza na nilipie 16 elfu kudhibitisha wadau ndo uwizi mpya baada ya hela tuma kwenye hii namba au Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimekuwa nikimtazama sana mkuu wa nchi ya Tanzania na kuona mara zote anapovaa suti kwenye kola yake huweka beji yenye ramani ya Afrika ya rangi nyekundu(mara nyingi). Viongozi waliomtangulia...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Nawasilisha hii mada kwenu ndugu wapendwa Natamani sana kuonana na Rais niweze kumshauri jinsi ya kupiga hela kwenye dhahabu badala ya kukazania ushuru ambao hauna manufaa yoyote kwa Serikali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za leo wana jamii. Mimi ni mtumiaji sana wa huu usafiri wa mwendo kasi,na nalipia nauli kupitia kadi zao(dart card). Mara ya mwisho nilikua naweza kufanya top up kupitia airtel money,lakini...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom