Changamoto katika biashara yangu ya chipsi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Kuna changamoto nyingi sana katika biashara yangu hii ya chipsi,

Lakini changamoto kubwa kuliko zote ni hii changamoto ya watoto wakali wenye Chura aiseeee hii biashara ina majaribu sana,

Ukitaka kuwa malaya na kuwala watoto wakali basi anzisha biashara ya chipsi karibu na chuo au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu wengi hapo utawala mpaka useme basi,

Tatizo ni moja tu ukijifanya penda penda sana nakuhakikishia mia utafungua banda lako la chipsi kwa msimu mmoja tu na hautauona msimu unaofuta kwa sababu watakuwa tayari wamekufirisi ,

Wanawake wenyewe huwa hawana gharama sana ila jiandae kumgongea chipsi yai kila anapokuja sasa assume una mademu 5 wote daily wanataka chipsi yai hapo ndio utajua kwamba kijijini kuna kilimo au bata,

Licha ya wapenzi wako tu toa wale wanaojibebisha na machura yao kwa kisingizio cha kukopa na kukusifia aiseee mimi Zero IQ hii biashara ili niendele inabidi nichongeshe miwani ya mbao,

Zero IQ niko hatarini kwa nini sikuwa kinyozi na saloon yangu nimeamua kuja huku kwenye neema za Allah.

IMG-20181206-WA0027.jpeg

Sample ya mademu wanaopatikana katika biashara yangu ya chipsi

Cc Zero IQ
 
Naomba kazi ya kumenya viazi au hata kazi ya kukata kata kachumbari mkuu, sio kwa hiyo avatar ulioitupia.[emoji53] [emoji18]
 
Kuna changamoto nyingi sana katika biashara yangu hii ya chipsi,

Lakini changamoto kubwa kuliko zote ni hii changamoto ya watoto wakali wenye Chura aiseeee hii biashara ina majaribu sana,

Ukitaka kuwa malaya na kuwala watoto wakali basi anzisha biashara ya chipsi karibu na chuo au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu wengi hapo utawala mpaka useme basi,

Tatizo ni moja tu ukijifanya penda penda sana nakuhakikishia mia utafungua banda lako la chipsi kwa msimu mmoja tu na hautauona msimu unaofuta kwa sababu watakuwa tayari wamekufirisi ,

Wanawake wenyewe huwa hawana gharama sana ila jiandae kumgongea chipsi yai kila anapokuja sasa assume una mademu 5 wote daily wanataka chipsi yai hapo ndio utajua kwamba kijijini kuna kilimo au bata,

Licha ya wapenzi wako tu toa wale wanaojibebisha na machura yao kwa kisingizio cha kukopa na kukusifia aiseee mimi Zero IQ hii biashara ili niendele inabidi nichongeshe miwani ya mbao,

Zero IQ niko hatarini kwa nini sikuwa kinyozi na saloon yangu nimeamua kuja huku kwenye neema za Allah.

View attachment 958873
Sample ya mademu wanaopatikana katika biashara yangu ya chipsi

Cc Zero IQ
Umenishawishi nifungue biashara ya chips maana mizigo km hiyo ndo saafi kabisa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
We utanifirisi mkuu utangangania uende na jikoni
Dah me na wewe tunabaniana, halafu usikonde yna2 sijam TAG huu uzi, huu simshtui kabisa, asije akajionea kama ule wa jana nikakuharibia.[emoji18] [emoji53]
 
Chips unauzia maeneo yapi hapa Dom mkuu,nataka niwe nakuja kula navo kuwa na mzuka wa chips
 
Kuna changamoto nyingi sana katika biashara yangu hii ya chipsi,

Lakini changamoto kubwa kuliko zote ni hii changamoto ya watoto wakali wenye Chura aiseeee hii biashara ina majaribu sana,

Ukitaka kuwa malaya na kuwala watoto wakali basi anzisha biashara ya chipsi karibu na chuo au sehemu yeyote yenye mkusanyiko wa watu wengi hapo utawala mpaka useme basi,

Tatizo ni moja tu ukijifanya penda penda sana nakuhakikishia mia utafungua banda lako la chipsi kwa msimu mmoja tu na hautauona msimu unaofuta kwa sababu watakuwa tayari wamekufirisi ,

Wanawake wenyewe huwa hawana gharama sana ila jiandae kumgongea chipsi yai kila anapokuja sasa assume una mademu 5 wote daily wanataka chipsi yai hapo ndio utajua kwamba kijijini kuna kilimo au bata,

Licha ya wapenzi wako tu toa wale wanaojibebisha na machura yao kwa kisingizio cha kukopa na kukusifia aiseee mimi Zero IQ hii biashara ili niendele inabidi nichongeshe miwani ya mbao,

Zero IQ niko hatarini kwa nini sikuwa kinyozi na saloon yangu nimeamua kuja huku kwenye neema za Allah.

View attachment 958873
Sample ya mademu wanaopatikana katika biashara yangu ya chipsi

Cc Zero IQ
Nidhamu na malengo ndio mafanikio yako. Umeamua kufanya biashara, fanya biashara, fikia malengo uliyojiwekea.
 
Back
Top Bottom