Wengi uamini mapenzi ni hisia tu kwa unayempenda kumbe ni mwenyewe kuamini anayeweza kufilisi wazungu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,509
2,000
wana JF,

Ishu ya watu wengi kutamani sana wanawake wenye sura nzuri zenye mvuta au wenye maumbo mazuri yanayovutia uja baadaye kujuta kwa kutoridhishwa wanachokikuta wakati ameisha waoa au kukuta vitu tofauti ya walichotamani. Unaweza ukatamani wanawake wanaocheza show za kukatika mauno au wanawake wanaootembea kwa kunata au kwa malingo lakini yote kwa yote utaishia kwa yule anayeangaika kukutoa wazungu wakaisha wote hata ukafikia hatua ya kukooa kwa utamu baada ya tendo la ndoa, haijalishi ana sura nzuri au ana maungo mazuri ila anayeweza kukamua wazungu mpaka ukawa mwepesi.

Amini nakuambia wapo wanawake wana sura mbaya ila wamejaliwa kuwamudu wanaume kwa mapenzi. utakuta wanawake wenzie wanajiuliza kuwa uenda mwanamke yule anatumia dawa kuwanasa wanaume wa haja/wenye nacho kumbe kamjamaa kana mambo mnato na mashine ipo full joto masaa 24.

Hawa wanawake mara nyingi utafutwa jioni kwa kificho kwani mchana wengi hawataki kuoonekana nao kwa sababu ya sura zao. wakati mwingine wanaume huwaita kuku wa kienyeji au gusa unase. Wanawake wa aina hii wengi uwapata kwa wauza mboga mboga, wafanya usafi maofisini, wadada wa kazi, watembeza matunda, mama ntilie. unaweza ukakuta boss ana mwanamke mzuri kwa sura lakini yupo bize anatuma mesage za kuomba kukutana na hawa wauza mboga.

Utashangaa akikamatwa na mkewe jinsi anavyomtolea kashifa kumbe hajui kuwa kinachofuatwa ni mnato sio sura.
 
MUROKOZI

Senior Member
Aug 1, 2014
127
225
wana JF,

Ishu ya watu wengi kutamani sana wanawake wenye sura nzuri zenye mvuta au wenye maumbo mazuri yanayovutia uja baadaye kujuta kwa kutoridhishwa wanachokikuta wakati ameisha waoa au kukuta vitu tofauti ya walichotamani. Unaweza ukatamani wanawake wanaocheza show za kukatika mauno au wanawake wanaootembea kwa kunata au kwa malingo lakini yote kwa yote utaishia kwa yule anayeangaika kukutoa wazungu wakaisha wote hata ukafikia hatua ya kukooa kwa utamu baada ya tendo la ndoa, haijalishi ana sura nzuri au ana maungo mazuri ila anayeweza kukamua wazungu mpaka ukawa mwepesi. Amini nakuambia wapo wanawake wana sura mbaya ila wamejaliwa kuwamudu wanaume kwa mapenzi. utakuta wanawake wenzie wanajiuliza kuwa uenda mwanamke yule anatumia dawa kuwanasa wanaume wa haja/wenye nacho kumbe kamjamaa kana mambo mnato na mashine ipo full joto masaa 24. Hawa wanawake mara nyingi utafutwa jioni kwa kificho kwani mchana wengi hawataki kuoonekana nao kwa sababu ya sura zao. wakati mwingine wanaume huwaita kuku wa kienyeji au gusa unase. Wanawake wa aina hii wengi uwapata kwa wauza mboga mboga, wafanya usafi maofisini, wadada wa kazi, watembeza matunda, mama ntilie. unaweza ukakuta boss ana mwanamke mzuri kwa sura lakini yupo bize anatuma mesage za kuomba kukutana na hawa wauza mboga. Utashangaa akikamatwa na mkewe jinsi anavyomtolea kashifa kumbe hajui kuwa kinachofuatwa ni mnato sio sura.
Kama kuna ukweli vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ezekiel Mbaga

Verified Member
May 28, 2018
5,435
2,000
mmh jaman kila mtu ana ladha yake, me napenda mwanamke mwenye tako la maana mengine ni nyongeza.
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284
2,000
Kweli tupu.

Hao wanaosemekana hawana mvuto MASHINE zao zinakuwa mnato sana.

Nimegundua ni kwasababu hawatumiki sana kingono.

Hili sio la kuhadithiwa au kusimuliwa.

Ni uchunguzi wangu mwenyewe
 
SPYMATE

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
1,274
2,000
Kama kuna ukweli vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya Sindimba hacha kabisa kaka!!
Kuna kajamaa ketu kamemuacha mkewe pretty lady na kuoa hao mnaowaita sura mbaya (japo ukweli ni kwamba M/Mungu hajaumba mbaya maana wote ni wazuri kwake)
Wanandugu wanashangaa tu kijana kapendea nini pale au kalogwa?
mzee mmoja ndio kanitonya uwezi jua pengine jamaa ananyonywa dole gumba hadi kupagawa kama yote!!
 
Niliwahi kutaka kuitosa ndoa kwa sura mbaya , alikuwa anatoa mzigo hatari alafu anakuuliza umetosheka au nikuongeze mimi nasema inatosha mama kesho, unaulizwa tena ukijisikia sema tu baba nipo kwa ajili yako. hapo wazungu ukifikiria wanataka kutoka kila saa kwa sura ya mbuzi aisee
 
Waukaya

Member
Mar 25, 2014
91
150
Niliwahi kutaka kuitosa ndoa kwa sura mbaya , alikuwa anatoa mzigo hatari alafu anakuuliza umetosheka au nikuongeze mimi nasema inatosha mama kesho, unaulizwa tena ukijisikia sema tu baba nipo kwa ajili yako. hapo wazungu ukifikiria wanataka kutoka kila saa kwa sura ya mbuzi aisee
Uanamke (feminism) sio sura, elimu, uwezo wa kifedha n.k. Ni hali ya mwanamke kuwa na mvuto wa kibinadamu wa kike wa asili. Hawa wanawake tunaowaona ni duni wengi wao wanao mvuto wa asili wa kike ambao ki ukweli unawavutia wanaume wengi. Na pia wengi wao msongo wao wa mawazo ni mdogo hivyo furaha yao hupatikana kirahisi.
Shida ni kuwa wengi wetu huangalia 'vigezo' vya ziada na kuvipa kipaumbele kwenye mahusiano na kusahau kigezo kikubwa cha kwanza ambacho ni uanamke.
Wengi wetu huishia 'kuoa' vigezo kama elimu ya mwanamke, familia alikotoka n.k. tukisingizia kuwa tunataka watoto wetu wapate 'mama bora' na kusahau kuwa suala la starehe anayokupatia mwanamke ndio msingi mkubwa na kigezo cha kwanza cha ndoa. Unapaswa ujiridhishe na uanamke wake kwanza katika kukupa wewe amani ya mwili na akili. Wanawake wa kawaida sana wale wasio na elimu kabisa au wenye elimu duni, wale wanaonekana wabaya wa sura na wale wasio na kipato kikubwa huwa ni wanyenyekevu na watiifu...huwa tayari kumridhisha mwanaume kwa ufundi wa kiasili wa mwanamke na sio vinginevyo. Mababa wengi wana mahusiano ya kimapenzi na madada wa kazi wa majumbani siku hizi. Dada wa kazi hatumii vipodozi, nywele hazitiwi dawa ila wengi wana mvuto wa asili wa kike ndio sababu mzee na digrii yake anavutiwa naye.
Sisi binadamu ni wanyama pia, mnyama anavutiwa na harufu ya 'jike' na anampanda. Sisi ustaarabu umetuponza! Tunatengenezewa 'condoms' zilizotiwa harufu ya ndizi au nanasi zinazotutoa kabisa mchezoni kisaikolojia! Unatakiwa 'ukila mzigo' usikie harufu ya 'nyama' na sio ya matunda! 'Ukimla' mtu wako akiwa na kiharufu 'natural' ndio anakuwa mtamu kuliko akiwa kajimwagia 'unyunyu' wa bei mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,509
2,000
H

Hayayayayaya huu ndio ukweli usiopingika kabisaaa, wengi roho zetu zinaadaika na vikorombwizo na marembo ya kisasa, kumbe kitu nachuro kmedaliziwa kwa utamu wa pekee, wengine wanajiweka mapafyumu utafikri gari la hospitali limepita!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom