Bunju, Dar: Malori mawili ya kubeba mchanga yagongana uso kwa uso

sily

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
924
1,000
Habari za asubuhi Wakuu

Kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa uso eneo la kwa Wagogo Bunju jijini Dar, Barbara ya Bagamoyo

Hivyo kuna foleni kubwa kwa wale wanaotokea Bagamoyo na wanaotoka mjini.

Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha.

My take: Hii barabara malori mengi yanaendeshwa kwa kasi bila tadhari.
 

marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,358
2,000
Habari za asubuhi wakuu,kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa USP eneo La Kwa wagogo Bunju Barbara ya Bagamoyo hivyo Luna foleni kubwa kwa wale wanaotokea Bagamoyo Na wanaotoka mjini,inasemekana Hamna aliyepoteza maisha.
My take:hii barabara malori mengi yanaendeshwa kwa kasi bila tadhari.

Halafu waziri anajitokeza kidevu mbele anataka watu wakaguliwe certificates as if if ndizo zinashika usukani
 

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
7,500
2,000
Habari za asubuhi Wakuu

Kumetokea ajali mbaya ya malori mawili ya kubeba mchanga kugongana uso kwa uso eneo la kwa Wagogo Bunju jijini Dar, Barbara ya Bagamoyo

Hivyo kuna foleni kubwa kwa wale wanaotokea Bagamoyo na wanaotoka mjini.

Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha.

My take: Hii barabara malori mengi yanaendeshwa kwa kasi bila tadhari.
Picha ikwapi?

Halafu sio tadhari....ni Tahadhari...
 

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
201
225
Rai kwa Mkuu wa traffic police ni kuwa Malori ya mchanga kwenye barabara hii ya Bagamoyo yanaendeshwa kwa fujo sana sana....waliangalie hilo na sheria iwabane zaidi maderereva malori ya mchanga
 

ngosha wa mwanza

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
886
1,000
hakuna madereva wanaoendesha magari kwa fujo km wa malori ya mchanga mm hua naona bora wafage kabisa maana hata huku kwetu wanapita kwa spid sana na waadharau gari ndogo.serikali iwe na uangalizi sana maeneo ya machimbo ya mchanga maana hawa wanasababisha ajari kila mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom