Huyu, mdau Kwinyara yupo wapi..?!

Huyu, mdau Kwinyara yupo wapi..?!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,403
Reaction score
25,318
Kwa watumiaji wa IG, ni kuwa kuna mdau mmoja anayejulikana kwa jina la Kwinyara ana amekuwa akitoa machapisho mbalimbali, ya kuikosoa sirikali mara kwa mara! Lakini hivi sasa mdau huyu haonekani tena, na wala ID yake haipatikani kwenye ku-search! Badala yake ukisearch inapatikana id ambayo siyo ile halisi!
...je nini kimemkumkuta huyu jamaa na kutoweka kwenye mitandao ya kijamii?!!
..mwenye habari zaidi juu ya huyu mdau atupe update tafadhali!


Sent using Vertu Signature Cobra
 
Kwinyara Kwinyara yupo nadhani!

A day or two nimeona anamrusha Tundu Lissu na mitikasi yake USA!
 
Back
Top Bottom