Wafanyakazi wa DART wanavyoliibia Taifa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,345
2,000
Baada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa

Zile tiketi zinazokuwa zimechanwa kwa juu zinarudishwa pale wanapokatia tiketi na sasa unapewa tiketi ikiwa imeshakatwa ukiuliza kwanini wanasema tumechania humu ndani

Swali kwanini mchanie ndani?

Kwanini vituo vingine kuna mtu pembeni anachana?

Vituo vinavyotoa tiketi zilizochanwa tayari ambazo zinarudiwa na watu kula pesa ni kuanzia

Shekilango mpaka Kimara Mwisho hii ni pamoja na Bucha Korogwe, Kona na vingine

Serikali mliangalie hili tusijelalamika tena na tena ikawa aibu
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,280
2,000
Mkuu acha wale tu hao viongozi wanapiga pesa nyingi then hao wafanyakazi wanalipwa 250k per mwezi kwa hapa mjini wataishije?
Hata wakikusanya ukaguzi wake ndo huu unafichwafichwa
Yaani hili limfumo litatufanya hata tusiwe wazalendo hao wafanyakazi Kama wasipoiba hata kandambili hawataweza kununua kwa mshahara wanaolipwa
Moja ya miradi inayosikitisha kwa uendeshaji wake ni huo. Yaani unaanzisha biashara ukiwa na uhakika wa Wateja zaidi ya milioni mbili lakini unashindwa kuundesha kwa ufanisi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,470
2,000
Nowdays ndiyo maana ukimpa 1000shs chenji anakupa 400shs badala ya 350shs Ikiwa na maana 50shs hana, so anajua no hasara.
 
Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,280
2,000
Nowdays ndiyo maana ukimpa 1000shs chenji anakupa 400shs badala ya 350shs Ikiwa na maana 50shs hana, so anajua no hasara.
Mfumo unawafanya watu wasiwe wazalendo,
Unakuta wakubwa wanalipwa 6m to 15m, then wanalipiwa nyumba, usafiri anapewa gari kokote aendako na posho kibao plus safari.
Huku mfanya wa chini ambae ndiye mfanyaji kazi mkubwa analipwa 250k to 300k kabla ya makato huyu halipiwi nyumba, halipwi nauli Wala Hana posho.
Acheni waibe tu maana maisha yao Ni magumu mno
 
copernicucci98

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
577
1,000
watu wanakwapua 2.4trillion we unaumia na hao wanaoiba vimia mia!? acha wivu wa kike
I had similar comment. Kuna swali la msingi la 1.5T, ambalo limebadilika kuwa 2.4T; ambalo majibu yake hayajapatikana.. Then sisi tunauana wenuewe kwa wenyewe.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,068
2,000
Baada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa

Zile tiketi zinazokuwa zimechanwa kwa juu zinarudishwa pale wanapokatia tiketi na sasa unapewa tiketi ikiwa imeshakatwa ukiuliza kwanini wanasema tumechania humu ndani

Swali kwanini mchanie ndani?

Kwanini vituo vingine kuna mtu pembeni anachana?

Vituo vinavyotoa tiketi zilizochanwa tayari ambazo zinarudiwa na watu kula pesa ni kuanzia

Shekilango mpaka Kimara Mwisho hii ni pamoja na Bucha Korogwe, Kona na vingine

Serikali mliangalie hili tusijelalamika tena na tena ikawa aibuhahahaha we mdau ni na mashaka na UZI wako maana mimi jana nimepanda huo usafiri wa shida shida lkn sijakutama na icho kisanga zaidi zaidi nilikutana na bango tu pale kimara mwisho ya kuwa abiria chunga tiketi yako mpaka mwisho wa safari yako
 
Nyati

JF-Expert Member
Mar 6, 2009
2,310
2,000
Kwa wale weenye zile kadi kwa sasa wame-disable hata uwezi kulipa kwa mobile money kama mwanzo lazima kuna kitu haiwezekani watu wanaende e-payment wewe unarudi kinyume nyume
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,552
2,000
Waache waibe tu, kama Tundu lisu analipwa mamilioni ya fedha huku akitega Bunge na kufanya ziara Dunia nzima huku akitutukana ije kuwa hao Wafanyakazi tu.
 
Q-liner

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
295
1,000
Mfumo unawafanya watu wasiwe wazalendo,
Unakuta wakubwa wanalipwa 6m to 15m, then wanalipiwa nyumba, usafiri anapewa gari kokote aendako na posho kibao plus safari.
Huku mfanya wa chini ambae ndiye mfanyaji kazi mkubwa analipwa 250k to 300k kabla ya makato huyu halipiwi nyumba, halipwi nauli Wala Hana posho.
Acheni waibe tu maana maisha yao Ni magumu mno
Alafu ukiangalia sampuli ya watu wanaolipwa hizo pesa c kwamba wana kitu cha ziada ni makanjanja tu wakina ndugai,msukuma,kibajaji mashilinji, kweli kazi ipo!Ibora waibe tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chai_nazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
388
500
Nathubutu kusema wasafiri wanaopanda hiyo mwendo kasi ni mizigo! Sio abiria wale!!! Aiseeee wacha niendelee kuunga unga tu hizi daladala zetu, mwendo kasi ni tabu na mateso!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kamarah1320

JF-Expert Member
Dec 2, 2018
284
500
Baada ya mashine kuacha kutumika hivi ndivyo wafanyakazi wanavyoliibia taifa

Zile tiketi zinazokuwa zimechanwa kwa juu zinarudishwa pale wanapokatia tiketi na sasa unapewa tiketi ikiwa imeshakatwa ukiuliza kwanini wanasema tumechania humu ndani

Swali kwanini mchanie ndani?

Kwanini vituo vingine kuna mtu pembeni anachana?

Vituo vinavyotoa tiketi zilizochanwa tayari ambazo zinarudiwa na watu kula pesa ni kuanzia

Shekilango mpaka Kimara Mwisho hii ni pamoja na Bucha Korogwe, Kona na vingine

Serikali mliangalie hili tusijelalamika tena na tena ikawa aibu
ndugu unataka kunambia zile machine za kuscan barcode zimeshakufa zote duhhh kwel Tanzania ni dunia ya Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
godimpare

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,674
2,000
kwa mfumo ule kuiba ni lazima hata kama ni mimi ningeiba tuu shenz type kumbe wanalipwa ela ndogo ivo bado kula ni juu yao na vitu vingine hata pale ubungo ktk asubuhi mi nilishapewa ticket iliyopita muda wake inamaana waliziokota au kukusanya ila kwakua nilikua na harka zangu nikacheka nikapuuzia kwamba kaniibia mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom