Kusoma Oxford, Cambridge au Havard sio kigezo cha kuwa mshauri wa Rais

  • Thread starter Deleted member 536137
  • Start date
D

Deleted member 536137

Guest
Nchi hii bhana yaani kuna mtu amekaa akawaza weee na kuwazua akaona kwamba kusoma vyuo kama Oxford,Cambridge na Havard ndio unaweza mshauri Rais wa Tanzanaia

Wanasahau kwamba HAKUNA Rais hata mmoja wa Tanzania hii amewahi soma hivyo vyuo

Sometimes sikilizeni kwanza mnayoambiwa
#ChangeTanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa alimaanisha wanakuwa washauri wa malikia au viongozi wakuu kwenye hizo nchi za kimagharibi, hata kwa Tanzania hatutarajii achukuliwe tu kilaza akatoe expert opinion kwa rais
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom