Serikali: Mauaji mkoani Njombe yasihusishwe na imani za kishirikina, biashara au itikadi za kisiasa

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,113
27,099
Nimesikia Waziri wa mambo ya Ndani akiongea Bungeni kwamba mauaji ya Njombe yasihusishwe na Imani za kishirikina, wafanyabiashara au ushirikina kwani kufanya hivyo kutazua taharuki na kuwaumiza watu wasio na hatia

Akaongeza kuwa " Watu 26 waliokamatwa ni watu wa kawaida kabisa"

My take: Watu wenye uadui wanaweza kucapitalize kwenye issue ya mauaji kwa Imani za kishirikina kuwaua watoto wa maadui zao ili kukwepa suspicion. Kwa hiyo tamko hilo la Serikali ni tamko makini sana na linafaa kuungwa mkono na kila mtu.

Kingine wazazi wawalinde watoto wao kwa hali na mali
 
Back
Top Bottom