Pendo Julliet
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 243
- 324
Hii ya Monsanto kutuletea mbegu zinazotengenezwa maabara ili zitumiwe na wakulima haikubaliki na tunapaswa kupinga kwa akili na nguvu zetu zote.
Ndiyo, tuwapinge hawa Monsanto sababu mbegu za GMO zina madhara na zina sumu ndani yake, ndiyo maana zikitumiwa zinaua mimea asili hivyo hata mbegu za asili zitakufa na wakulima kushindwa kutumia mbegu zao za asili kama ilivyo ada.
Hii ni kweli na nchi nyingi Ulaya wamepiga marufuku huu mbegu za Monsanto, GMO sababu zinasumu na ni hatari kwa afya ya binadamu sasa Watanzania wakikalia kimya hili kama ilvyo kawaida itakuwa ni balaa lingine.
Hatutaki hizo tafiti zenu mnazofanya huko maabara hizi mbegu zimeshajulikana hazifai, wakulima hawataki kwani watalazimika kuwa wanunuzi wa kudumu wa mbegu hatari kutoka Monsanto.