Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,342
- 6,467
Katika kuchangia hoja Bungeni Mbunge Joseph Musukuma amesema kuna 'digrii' za makaratasi na zinasumbua (tazama kwenye video clip hapo chini).
Hivi maana ya 'digrii' ya makaratasi ni ipi hasa? Na kama ameweza kutaja aina hiyo, basi ni wazi kuna aina nyingine moja au zaidi. Je, hiyo/ hizo nyingine zaweza kuwa ni zipi?