Hii ndio taarifa mpya kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Mh Ole Sendeka.
Nanukuu...
''Tutaendelea kama Serikali kufanya uchunguzi kwa kutumia vyombo vyenye ujuzi ili wale wote wanaohusika katika mauaji...
Ni ukweli uliodhahiri kwamba tangu 2015 serikali ijapata kiajiri walimu wahitimu wa masomo ya sanaa kwa ngazi ya degree na diploma hapa nchini
hali hii imepelekea ongezeko kubwa sana la walimu...
Wakati bei ya mkate Tanzania ni kati ya shs 1000 na elfu mbili yaani US$0.4 hadi US0.9, Zimbabwe ni kati ya US$1.4 hadi US$2.4 yaani ununue mkate dar kwa shs elfu mbili ukauze Harare kwa shs elfu...
Wakuu,
Naenda Kampala na nitakaa pale kwa wiki moja. Kubwa ni kwenda kufanya utalii wa kibiashara, kuona wao wanauza vitu gani kwa bei ndogo na wao wananunua vitu gani kwa bei kubwa ili nione...
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewasimamisha kazi wauguzi wanne wa kituo cha afya Mkoani wilaya ya Kibaha mkoani Pwani ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili kutoa...
Familia ya Abhanyeregenge. Kumutanganza Lissu mtu Mwenye roho wa Mungu/Mahatma. February 28/02/2019
Kama ilivyofanywa huko India mwaka April 1915 pale watu wa jamii ya Gurukul Kangadi...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwataarifu wadadisi wote waliohusika katika kazi ya kukusanya takwimu za Mapato na Matumizi ya kaya wa mwaka 2017/18 kuanzia Desemba 2017 hadi Novemba...
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita.
Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali...
Tundu Lissu hakika wewe sasa ni maarufu duniani baada ya kupata nafasi kwenye majukwaa ya kimataifa.
Mimi sio mwanasiasa na wala sijawa na interest za Politics. Naomba ukishamaliza hoja...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi ameridhishwa na ubora wa ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya Nyan’goro , ambapo Mhe. Hapi alipongeza namna bweni hilo lilivyojengwa na...
Watanzania watatu wakutwa na hatia ya kutaka kujiunga na Al Shabaab nchini Kenya na kufungwa jela miaka 15.
Walikutwa mpakani wakivuka kwenda upande wa kaskazini ya Kenya kujiunga na kundi hilo...
Nimesoma kitabu cha mwanafalsafa anaelezea familia mbili zinazolelewa katika mazingira tofauti ila wanaishi katika changamoto za maisha zinazofanana.
Familia ya kwanza watoto wanaambiwa na baba...
BUNGE limelisia Jeshi la Polisi kutokana na kufanya vizuri katika makusanyo ya maduhuli kwa asilimia 131.6 ya lengo, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikikusanya maduhuli kwa asilimia 78.6 ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema dola imeanza kuwasaka watu wote waliohusika kusambaza taarifa na picha za uongo zilizozua taharuki kuhusu matukio ya utekaji na mauaji ya watoto...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewaua kwa risasi watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika mtaa wa Nyakabungo jijini Mwanza wakati wakijiandaa kuvunja maduka yaliyopo kwenye mtaa huo...
Nimejaribu kuwaangalia wanasiasa wengi ambao kitaaluma ni wanasheria kwa kweli ni watu wenye majivuno na waliopungukiwa unyenyekevu kabisa.
Pale bungeni tuna wanasheria wa kutosha tukianzia na...
Habarini wanajamvi,
Hii hali imekuwa inajitokeza sana kwa watu wa aina mbalmbali iwe mkubwa, mdogo.
Yaani mtu anaweza akawa yupo kiukaribu sana na kumpenda sana mtu fulani kwa namna yoyote...
Nimeishi hapa kwa mwaka na nusu sasa. Kwenye mkataba hakuna kipengele cha kumpa copy ya kitambulisho.
Nimeshangaa juzi ananiambia anataka copy ya kitambulisho changu cha uraia au cha kupiga kura...
Ngamia ni mnyama anayekula majani tuu, ni mrefu na mwenye ufanano na twiga kwa kiasi fulani, tofauti yao ni kwamba wakati twiga akiwa mrefu zaidi, ngamia ni mnene zaidi, pia twiga makazi yake ni...
Nilicho jifunza kwenye awam hi ya tano. Watanzania tumeahajengewa kasumba yakuto amini Kila kitu akiwezekani ndo maana kitu kidogo watu wiki nzim kina jadiliwa.
Mfano deni la taifa. Imekuwa bonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.