Hivi mradi wa gesi ya Mtwara ulishaisha?

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Huu mradi ulipata upinzani mkubwa sana kipindi ukitekelezwa, hivi ulishaisha!
Tuliahidiwa baada ya huu mradi UMEME KUKATIKA NI HISTORIA NA BEI ITAKUA NDOGO sijui kama yamekua real au ilikua janjajanja watu wapige hela tu
 
Sasa hivi wametugeuka kuwa gesi si yetu tena.Nina Mashaka hata hii Stieglier ikikamilika itakuwa yaleyale mambo ya Gesi
 
Back
Top Bottom