Kama ilivyofanyika kwa huyu mtendaji basi ifanyike kwa wale vigogo wengine, maana wachini wanajifunza kwa wakubwa.
================
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro...
Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi?
Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana.
Lakini sasa hivi nadhani hii route bado...
Mwamba mfanyabiashara maarufu Tanzania wa mtandanaoni Ibrahim Chenza the king of Oviedo kajiposti kwenye ukurasa wake wa Facebook akituringishia mihuri na visa kadhaa kwenye passport yake.
Video...
Je, serikali haioni haja ya kutenga eneo maalumu ambalo garage zote zitakuwa mahala hapo zikiwa na miundombinu rafiki kuwezesha magari kuja kutengenezwa mahala hapo?
Hii itasaidia hata Jiji la...
Mdau, unatumia muda gani kwenye matumizi ya AI kwa siku?
Kutokana na ukuaji mkubwa wa teknolojia, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya kupata ushauri, habari, elimu, burudani pamoja na kujifunza...
Kila mwaka vyama vya wafanyakazi vinasherekea siku ya wafanyakazi yaani mei mosi na sherehe hizi zinaendana na kutengeneza sure hususan Tshirt au kutoa khanga kwa ajili ya kushona.
Jambo la...
Kichwa cha Habari
Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga?
Wakuu salamu,
Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu...
Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je, unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je, na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Barabara ya Morogoro maeneo ya Kimara “Ukanda wa Gaza” kuna jambo linachanganya kidogo
Wakati wa JPM tuliambiwa waliojenga ndani ya mita 60 za barabara wavunje majengo yao. Nyumba zikabomolewa...
Yaani kwa mfano nikachukua wire labda miter 2 au tatu na top plug 2 nikafunga plug moja huku na nyingine huku alafu nikapachikq kwenye swichi socket ya njia 2 alafu nikawasha je!nini kitatokea?
Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa...
Habari wakuu mimi ni mdau wa elimu kutoka mkoa wa Tanga nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya elimu katika shule ya msingi Makole iliyopo katika halmashauri ya WILAYA Korogwe DC katika kata ya...
1. Utangulizi
i: Wimbi Jipya la Utumwa wa Kidijitali
Ulaghai Mtandaoni: Matangazo ya kazi feki yameshamiri kwenye mitandao ya kijamii.
Walengwa Wakuu:
Vijana wasomi, wanaojua kompyuta, na...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mahusiano wa Serikali kuuza huduma zinazotolewa kwa jamii ili umma ujue utekelezaji wa kila siku wa shughuli kwa jamii...
Mk 4:18-19 SUV
[18] Na hawa ndio wale wapandwao penye miiba; ni watu walisikiao lile neno, [19] na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali, na tamaa za mambo mengine zikiingia, hulisonga lile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.