Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Mwandishi Wetu. Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Bw. Tido Mhando, amewataka Waandishi wa Habari nchini kutafakari upya wajibu wao katika kuijenga jamii kupitia...
2 Reactions
2 Replies
120 Views
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa...
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini...
5 Reactions
15 Replies
475 Views
Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe...
13 Reactions
118 Replies
1K Views
Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
  • Redirect
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa na kuwekwa mahabusu Watumishi Wanne wa Mkoa wa Singida ambao wanatuhumiwa kufanya ubadhirifu wa zaidi ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu...
0 Reactions
5 Replies
571 Views
Kigamboni ilikuwa na potential kubwa kuwa mji wa kisasa zaidi Tanzania kutokana na beach nzuri, usalama, nafasi kubwa ya ardhi na ukaribu na city centre. Watu walitegemea baada ya daraja kujengwa...
4 Reactions
6 Replies
292 Views
Sisi millennials tupeane story za ujambazi wa kutisha uliotikisa miaka ya 2000 kurudi nyuma Watu wa mkoa wa Kagera tukumbuke Yale mapori ya Kasindaga na Kimisi, Pale wahuni waliuwa na kuibia...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Serikali ya awamu ya sita imefanya mambo mengi yapo mabaya na mzuri. Kwa upande wa watumishi Mh rais amejitahidi sana, kuanzia mseleleko mpaka kupanda kawaida , Kwahili Kwa kweli anastahili...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje? Ni kwamba...
6 Reactions
30 Replies
392 Views
Singida ina potential kubwa sana ambayo bado haijatumika kikamilifu. Imagine katikati kabisa ya mji kuna view ya mabwawa mawili, hali ya hewa ya kawaida, mazingira yenye utulivu na maji yanayoweza...
9 Reactions
32 Replies
550 Views
Angalia majiji makubwa kama Arusha, Mwanza na Dar Es Salaam! Kero zilizosababishwa na watumishi wa hiyo idara ni lukuki! Kuna waliopokonywa ardhi isivyo halali! Kuna waliotapeliwa!, n.k. Kesi...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Watu wengi wana ndoto kubwa. Wanataka maisha mazuri. Wanataka fedha. Wanataka heshima. Wanataka familia ibadilike. Wanataka kutoka kwenye mateso. Na kila siku wanaomba. Lakini miaka inapita —...
1 Reactions
3 Replies
259 Views
Hebu fikiria hizi picha hapo chini nimejifunza mwenyewe jinsi ya kutoa na kurudishia emmc hadi prosesa. Je ningeweza kusoma na kufundishwa si ningekuwa mbali zaidi. Wao kazi yao ni kuja tu kudai...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Nisingeandika haya lau si kuchukizwa na kitendo hiki cha kishamba: kila kitu chetu kiitwe jina la mwanasiasa, awe hai au amefariki. Nchi hii ina watu wengi waliochangia kwa kiwango kikubwa na...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Kwa kweli, huwezi kuwa Muislamu ukiwa huwa umpendi na kumwaamini Malaika wote, Manabii na Mitume wote! Qur'an (Surat Al-Baqarah 2:285): “…Wote wanamwamini Mwenyezi Mungu, Malaika Wake, Vitabu...
4 Reactions
154 Replies
4K Views
Ninafurahi kuona kuna baadhi ya wabunge wataenda kuwatia hamasa watoto wadogo wanaojua soka U17. Ninafurahi kwa sababu wameacha majimbo yao na wametenga muda kwenda kushangilia. Wakati kuna...
3 Reactions
14 Replies
241 Views
Back
Top Bottom