Manyara: Mtendaji wa Kijiji Afungwa Miaka 20 Jela kwa wizi wa milioni 3 za Kijiji

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,615
Reaction score
5,690
Kama ilivyofanyika kwa huyu mtendaji basi ifanyike kwa wale vigogo wengine, maana wachini wanajifunza kwa wakubwa.
================
Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro mkoani Manyara, Godbless Mollel, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu na wizi wa fedha za kijiji.

Hukumu hiyo imetolewa Mei 28, 2026 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Wilaya ya Simanjiro, Onesmo Nicodemos, katika shauri la uhujumu uchumi lililoendeshwa na mwendesha mashtaka wa TAKUKURU, Faustin Mushi.

Soma Pia: Aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remiti - Manyara afikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa na wizi

Mahakama imeeleza kuwa Mollel alipatikana na hatia ya makosa mawili ya ufujaji na ubadhirifu baada ya kutoa Sh4.3 milioni kutoka akaunti ya kijiji mwaka 2022, ambapo Sh3.3 milioni zilidaiwa kutumika kwenye shughuli za kijiji huku fedha hizo zikiibwa.
 
Hawa mahakimu vichwa vyao haviko sawa. Adhabu aliyoitoa is clearly excessive!

Mahakimu wenyewe ndio vinara wa rushwa. Sijui wanapata wapi moral authority ya kuadhibu wengine kwa kiasi hicho!
 
Wezi wa mabilion hawafungwi

Ova
 
Fisadi wa pesa z uma chura aka kizimkazi anasema TUMSUTE mpk aone aibu.
Pole yako mtendaji.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ameonewa.polisi wameruhusiwa kabisa kupokea rushwa.
 
Ooohooo...tena?Twende yiaz kwa milioni mbili?Angeiba bilioni moja nadhani angehukumiwa kupigwa risasi mpaka afe hadharani.
 
Back
Top Bottom