Wakopaji wa fedha

Wakopaji wa fedha

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,272
Reaction score
3,029
Kichwa cha Habari

Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga?

Wakuu salamu,

Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu upumbavu, ushamba na uhuni unaofanywa na watu wanaokopa hela za dharura

Mtu ana shida, anajiliza na kuomba mpaka unamhurumia Unajinyima, unaingia kwenye benki unamtumia laki 5 au milioni 1 kwenda kwenye simu yake Hapo tayari wewe umeshakatwa makato ya kutuma

Ujinga wao unaanza hapa

Kuchelewesha hela, Hela inakaaaa wweeeh kwake! Wakati anaomba anapiga simu kila sekunde, akishapata anarudisha anavyojisikia yeye mpaka umpigie magoti.

Kurudisha hela kavu, Anarudisha ile laki 5 au milioni 1 kamili! Hivi kichwani mmejaza funza?
Hamjui kulikuwa na makato wakati inatumwa? Yanini mimi niliyemsaidia niingie hasara ya kulipia makato ya shida zake?

Hawa watu sio bure, tabia zao ni za kishoga kabisa Mtu mzima anayejielewa hawezi kuwa na tabia za kilewela, kilegevu na za kisongombingo kwenye hela ya mtu.

Kulialia wakati wa shida halafu ukipata hela unaleta mambo ya hovyo ni tabia za hovyo sana

Mtu hana adabu ya kifedha, hajiongezi kuweka hata ya kutolea, halafu kesho akikwama anategemea umkopeshe tena.
Wakuu mimi nimechukia sana. Ungekuwa wewe, unaweza kumkopesha mpuuzi wa namna hii tena?
 
Kama hufanyi biashara ya pesa usikopeshe pesa ovyo. Niliwahi kumkopesha mtu mmoja wa heshima sana, aliniomba pesa kiasi kwa nafasi yake nikampa kadi, alipokwenda benki akachungulia salio akavuta nyingi zaidi, akarudi na slip kuniambia ameongeza zaidi, sikuona shida, shida kuipata hiyo pesa! Acha tu na urafiki wetu uliisha, na heshima yake tulikwazana nikampeleka mbele tukasuluishwa akanilipa. Nimekoma.
 
"polisi akitishiwa kulengwa jiwe na raia mara moja polisi anatakiwa kushambulia kwa silaha aliyo nayo ambayo ni bunduki Shut and kill"

THABIT KOMBO
Hakuna kuremba wala kucheka na nyani Ukileta ushoga kwenye jasho langu, nakupiga Shoot and kill ya dharau na kukupiga marufuku kukanyaga getini kwangu Watu wa namna hii dawa yao ni kuwawahi mapema
 
Wanaokopa ni matapeli , hakuna jina jingine la kuwaita tena ni dhulmat kabisa . Mimi wakibanwa na bank nafurahi sana , mtu una mpa pesa kavu bila ya masharti wala riba ila halipi na kujifanya mjanja . Hpa nilipo , nimepoteza pesa nyingi ;ningeweza hata kununua kiwanja.

Usikopeshe mtu ,uanfanya biashara kichaa , haina faida. Unampa pesa bila ya faida , baadaye unaanza kupata tabu ya kumtafuta .
 
Kama hufanyi biashara ya pesa usikopeshe pesa ovyo. Niliwahi kumkopesha mtu mmoja wa heshima sana, aliniomba pesa kiasi kwa nafasi yake nikampa kadi, alipokwenda benki akachungulia salio akavuta nyingi zaidi, akarudi na slip kuniambia ameongeza zaidi, sikuona shida, shida kuipata hiyo pesa! Acha tu na urafiki wetu uliisha, na heshima yake tulikwazana nikampeleka mbele tukasuluishwa akanilipa. Nimekoma.
inathibitisha kuwa uaminifu umekufa kabisa duniani.
 
Wanaokopa ni matapeli , hakuna jina jingine la kuwaita tena ni dhulmat kabisa . Mimi wakibanwa na bank nafurahi sana , mtu una mpa pesa kavu bila ya masharti wala riba ila halipi na kujifanya mjanja . Hpa nilipo , nimepoteza pesa nyingi ;ningeweza hata kununua kiwanja.

Usikopeshe mtu ,uanfanya biashara kichaa , haina faida. Unampa pesa bila ya faida , baadaye unaanza kupata tabu ya kumtafuta .
Kweli kabisa
 
Kichwa cha Habari

Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga?

Wakuu salamu,

Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu upumbavu, ushamba na uhuni unaofanywa na watu wanaokopa hela za dharura

Mtu ana shida, anajiliza na kuomba mpaka unamhurumia Unajinyima, unaingia kwenye benki unamtumia laki 5 au milioni 1 kwenda kwenye simu yake Hapo tayari wewe umeshakatwa makato ya kutuma

Ujinga wao unaanza hapa

Kuchelewesha hela, Hela inakaaaa wweeeh kwake! Wakati anaomba anapiga simu kila sekunde, akishapata anarudisha anavyojisikia yeye mpaka umpigie magoti.

Kurudisha hela kavu, Anarudisha ile laki 5 au milioni 1 kamili! Hivi kichwani mmejaza funza?
Hamjui kulikuwa na makato wakati inatumwa? Yanini mimi niliyemsaidia niingie hasara ya kulipia makato ya shida zake?

Hawa watu sio bure, tabia zao ni za kishoga kabisa Mtu mzima anayejielewa hawezi kuwa na tabia za kilewela, kilegevu na za kisongombingo kwenye hela ya mtu.

Kulialia wakati wa shida halafu ukipata hela unaleta mambo ya hovyo ni tabia za hovyo sana

Mtu hana adabu ya kifedha, hajiongezi kuweka hata ya kutolea, halafu kesho akikwama anategemea umkopeshe tena.
Wakuu mimi nimechukia sana. Ungekuwa wewe, unaweza kumkopesha mpuuzi wa namna hii tena?
ama kwa hakika,
alichowahi kuimba Dr.Remy Ongala yaa "kukopa harusi kulipa matanga" ni kweli kabisa aise :KKonaW:
 
Back
Top Bottom