Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna mtindo umezuka sasa hivi, kila kona unapogeukia, kila mtu unayekutana naye anakwambia anza biashara ufanikiwe. Mbaya zaidi ni kuwa maneno haya yanaambatana na kejeli haswa kwa watu ambao...
0 Reactions
16 Replies
400 Views
Newtons First Law – Law of Inertia (Rest & Motion) An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion at constant speed in a straight line unless acted upon by an external...
3 Reactions
2 Replies
241 Views
Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo...
4 Reactions
18 Replies
284 Views
Mafunzo Elekezi kwa Watumishi Wapya wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) yameanza leo, Mei 28, 2026, ikiwa ni hatua muhimu ya kuandaa wataalamu wa mamlaka hiyo...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
Salamu ndugu zangu, Nakumbuka kuna siku nilileta bandiko linalohusu kuomba ambulance kwa ajili ya kumpakia mke wangu endapo angepata changamoto usiku, japo sikupewa ila nashukuru Mungu uchungu...
1 Reactions
2 Replies
136 Views
uchumi wa dunia sio GDP rasmi za nchi pekee kuna upande mwingine mkubwa sana wa uchumi ambao haupo kwenye reports rasmi za serikali wala World Bank. Huu ndio Black Market au unaeza ita Shadow...
2 Reactions
2 Replies
146 Views
Hapa naweza kutamka kukubali kupokea wagonjwa wa Ebola na kuwekwa nchini kwako ni kosa. Kenya imefanywa dampo la kutupa magonjwa kwa kupewa pesa ambazo hazifiki hata bilioni 50 za kitanzania...
1 Reactions
8 Replies
190 Views
Watu tulikua tukikuwa tunafahamu Asharose Migiro ni mtu wa heshima sana na mfano wa kuigwa lakini sasa naona imekua tofauti, watu wa usangi hamna tena Cha kujivunia. Kuna vitu vinasikitisha...
3 Reactions
7 Replies
179 Views
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1...
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Mimi ni mkazi wa Shekilango NHC maghorofani. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa sasa. Tumekuwa tukilipa fedha za usafi kila mwezi kama inavyotakiwa, lakini cha kushangaza, huduma ya ukusanyaji taka...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Wakuu habari. TIN number Yangu inadaiwa 2m deni la biashara na chombo Cha moto. Sasa Leseni Yangu inaenda kuexpire mwezi ujao tarehe Moja. Swàli langu je madeni Yangu yanaweza kuwa kikwazo Cha...
0 Reactions
5 Replies
174 Views
Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa...
1 Reactions
1 Replies
116 Views
Weekend tarehe 23 iliyopita nilitembelea sehemu moja karibu na mji wa kupang ila ni vijiji vya nchi ya Timor-Leste nikiwa na rafiki yangu kwao palikuwa na kama kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Kiukweli ni hospitali nzuri tu, wanatoa huduma nzuri, ila changamoto ni gharama za kujifungua zipo juu. Miaka miwili iliyopita, kujifungua kwa kawaida ilikuwa unachangia elfu hamsini, na kwa...
4 Reactions
40 Replies
693 Views
  • Redirect
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua...
2 Reactions
– Replies
– Views
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi aka sugu sijakataa ana kipaji cha kuongea na kuhamasisha watu, lakini kuna baadhi ya misemo yake kama ‘matako yenu’ imekaa kishamba kuliko kisiasa au kiuongozi. Kila...
4 Reactions
18 Replies
471 Views
Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
196 Views
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema uhuru wa uhariri ni nguzo muhimu katika taaluma ya...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Back
Top Bottom