ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,275
- 88,297
Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN.
Sasa ni kutiririka bila vpn
Sasa ni kutiririka bila vpn
Kijambio na urais wake feki.kafungulia jf😁Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN.
Sasa ni kutiririka bila vpn
Toka lini?Mbona ni muda mrefu tunaingia bila VPN
wa kwanza mimi, nimekaa muda mrefu bila kuingia JF. Hata nilikuwa sioni raha kuingia mtandaoniTangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN.
Sasa ni kutiririka bila vpn
mie mbona sijawahi kutumia hiyo VPN ndugu wadau?🐒Tangu JF ifungiwe kupatikana bila VPN ilipoteza members wengi huku watu wakiogopa kuingia via VPN.
Sasa ni kutiririka bila vpn
Wewe ni special casemie mbona sijawahi kutumia hiyo VPN ndugu wadau?🐒
you are very right,Wewe ni special case