Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro katika Mahojiano maalumu na Salim Kikeke anaeleza kuwa Jeshi la Polisi lina Wajibu wakulinda Raia wote wa Tanzania na...
Aisee nafungua redio nasikia Haji Manara ambaye ni diwani wa Kariakoo kupitia CCM eti msemaji wa timu za taifa
Sina shida na Manara lakini serikal iwe makini hii nchi kwa sasa si ya kuiendesha...
Inatokeaga unauza kitu chako aidha kwa sababu ya shida au vyovyote vile. ukaletewa hela kisha ukaiona ndogo ukataka kubwa zaidi lakini baada ya muda unauza bei ndogo kuliko ya mwanzo uliyepewa na...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi April huku zitakazoanza kutumika Jumatano tarehe 05/04/2023.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na...
Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata ***** ***** ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai...
Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja.
Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme.
Video hiyo...
https://www.instagram.com/reel/DY0O1QAIDfv/?igsh=MTV3MnRxaTQwdXNxOA==
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Bw. Tido Mhando, amewataka Waandishi wa Habari nchini kutafakari...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho...
Kukimbia ni Bure
Kupiga pushup ni Bure
Mazoezi ya kukimbia ni Bure.
Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako.
Six pack muhimu
Kifua kikubwa...
Siku baada ya siku sioni dalili ya kutoboa kupitia haya maisha ya kuajiriwa mambo yanazidi kuwa tough familia inaanza kukua kwa mshahara huu wa single digit sina hakika kama kuna kutoboa bila...
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.
Kwa mfano, barabara...
Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili.
Afya za watu hawa zipo hatarini kwani...
CRDB kama mpo hapa naomba mlifanyie kazi hii kero ya kuchelewesha kurudisha muamala hasa kwa sisi mawakala wa CRDB, Yaani muamala(shs 237,800/=) Wangu una mwezi mzima mpaka leo ni danadana...
Nipo nchi moja ya Kiarabu huku Ofisini kuna mfanyakazi mwenzetu toka jana namsikia ananukia papuchi kabisa. nikawa nawaza ni kuwa ametoka ku.... au... nikawa sielewi the whole day jana nilikuwa tu...
Wapangaji waliokuwa wakiishi katika nyumba namba 59, kwenye viwanja namba 169, 171 na 173, Kitalu “F”, mtaa wa Mnyampala, Kata ya Nyamanoro, Wilaya ya Ilemela, wameiomba serikali iingilie kati na...
Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya...
Kuna kipindi mwanaume anaweza kupoteza kazi, biashara kufa au kipato kukata ghafla. Tatizo kubwa siyo tu kukosa ajira bali ni namna ambavyo baadhi ya wanaume hujiweka kwenye maisha ya kutegemea...
Prof. Minzi na wengine!
Sijui kama Waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.