Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna namna wazazi huwaona watoto kama hivi hawana hisia au wanaweza kuachilia vitu kirahisi kiasi kwamba anaweza kumfanyia kitu ambacho kitamuumiza na yeye atakibrush tu na kuendelea na maisha...
3 Reactions
4 Replies
167 Views
Moja ya mambo yanayoonyesha udhaifu wa hoja ni mtu kushindwa kujibu hoja kwa ushahidi na badala yake kukimbilia matusi, kejeli, mipasho au maneno ya mkato mkato. Mtu anapoletwa hoja yenye dalili...
2 Reactions
12 Replies
178 Views
Baada ya hoja ya Mdau aliyeandika ~ Mfumo wa TBS unasumbua kutoa gari Bandarini, gharama zinakuwa kubwa na zinaangukia kwa mteja ufafanuzi umetolewa na mamlaka hiyo. TANGAZO KWA MAWAKALA WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Hello Singida Leo ni Manyoni Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 30 Mei, 2026. 🕰️ 5:30 Asubuhi. Lengo la Ziara: ▫️ Kukagua mradi wa maji wa mji 28...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Majanga ya moto shuleni yamekuwa yakiondoka na uhai wa watoto wetu, mfano huko kenya ajali ya moto imeondoka na uhai wa watoto. Sina uhakika kama mabweni ya shule zetu hapa nchini (binafsi au...
2 Reactions
2 Replies
148 Views
Habarini, Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April Katikati ya...
8 Reactions
15 Replies
417 Views
Kwa ufupi sana naomba upitie haya machache ile kuepuka ajari barabarani! 1. Hakikisha unajari mda (Time management) Kumbuka kinachoua watu wengi katika ajari ni haraka, unaposhindwa kupangilia mda...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi sana wa magari makubwa na pia ni dereva, mara nyingi nikipita hapa friends corner kushuka unga ltd hapa Arusha naona scania nyingi lakini zimekufa za iliokua kampuni ya Tango kwa...
0 Reactions
119 Replies
24K Views
#UPDATE. Pvt. Ruhamya Kainerugaba, who is the son of Gen Muhoozi is currently undergoing military training at the prestigious Royal Military Academy Sandhurst in the United Kingdom ,political...
6 Reactions
8 Replies
290 Views
Cc: Waziri Dkt. Gwajima D Ila Dada mwanzilishi wa neno 'Kipochi Manyoya' ukimaanisha 'Mbunye' wala hujakosea kwa hizi styles zako Kuu Tatu ulizozitaja hapa na Mimi nikiwapata tu wenzako hupenda...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
Kama kuna watu wameshawahi kupitia kipindi cha kufukuzwa kazi , hivi maisha mliyasongesha kwa Namna gani baada ya kufukuzwa? Life kitaa siyo poa mliwezaje kutoboa kwenye msimu huo hadi mlipopata...
15 Reactions
69 Replies
2K Views
Kufuatia tukio liliofanywa na member wa umasaini la kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa kiwanda cha kuchakata unga wa makopo ya plastiki, baadhi ya watu wanapata hofu wanapomuona mtu akiwa kwenye...
6 Reactions
25 Replies
559 Views
Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na...
4 Reactions
9 Replies
242 Views
Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji...
3 Reactions
6 Replies
254 Views
Wakuu habarini za uzima. Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo. Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au...
11 Reactions
56 Replies
1K Views
#KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaUtu #maendeleoendelevu #diplomasiayakiuchumi
0 Reactions
2 Replies
96 Views
Weka chochote unachodhani kitakuwa ni kumbukumbu ya kukumbukwa vizazi na vizazi Inaweza kuwa Picha Nukuu Video Link Ama chochote
13 Reactions
154 Replies
5K Views
Kama ilivyofanyika kwa huyu mtendaji basi ifanyike kwa wale vigogo wengine, maana wachini wanajifunza kwa wakubwa. ================ Ofisa Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remit wilayani Simanjiro...
1 Reactions
9 Replies
295 Views
Back
Top Bottom