Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huku serikali ikijinasibu na elimu bure, huku wanakijiji wakiteswa kwa michango. Tunapoteza bilioni 12.3 kwa kuungwa mkono huku hakuna madarasa, hakuna vyumba za walimu, hakuna madawati. Jana...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua majambazi wawili na kufanikiwa kukamata silaha moja aina ya Chines Pistol, risasi tatu na maganda manne ya risasi aina ya Chines Pistol...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
MKAZI wa Dar es Salaam, Chacha Marwa (32), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ua Hakimu Mkazi Kinondoni kwa tuhuma za kukutwa na pombe haramu ya gongo yenye ujazo wa lita 160. Akisomewa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Basi hilo lenye namba za usajili T 877 DJP linalofanya safari zake kati ya Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Morogoro limekumbwa na janga hilo karibu na mzani wa Vigwaza
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Kichwa cha habari chahusika. Mwaka huu ninampango wa kuchota baraka kwa kuwatembelea hawa wabongo wenzangu analau mara moja kw mwezi.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada ni vitu gani hasa vitahitajika ili kuipata milioni 2 benk kwa haraka kama mkopo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema nchi za Bara la Afrika zimeitaja Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa. Ameyasema hayo jana (Jumatatu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango zinazojengwa katika Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesema siku zote, kangomba kwa system hii haitakaa iishe . Kangomba ni mkombozi wa mkulima... Km kweli serikali ina dhamira ya kukomesha kangomba, ifanye mambo mawili.. 1: itoe mikopo isiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fimbo Ya Kufikiri Natumaini muwazima wa afya, Kabla sijarukia moja kwa moja Kwenye mada husika ningependa kutilia mkazo juu ya makala hii niliyo andika , kwamba ni makala yeye lengo la...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu hapa JF naona kuna mambo au makundi ambayo hayajawahi kupata muafaka au pande mbili, tatu au zaidi ya hizo kukubaliana na kuwa upande mmoja. Na kuna uwezekano haya mambo au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je kuna mwanajf yeyote anayepanga kwenda SCOAN Kama upo tafadhali uniambie.. Nna hitaji Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Kanali Hosea Ndagala,Mkuu wa Wilaya ya Kakonko leo jioni ameamua kujifurahisha Mbele ya Wananchi eti anamsimamisha Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Kakonko na Mwenyekiti wa vijana BAVICHA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
guest-1793102819
Rais wetu kuna afisa kilimo anaitwa pilato pamfil yupo wilaya ya kilosa kata ya dumila hana msaada na sisi zaidi ya kufanya miradi yake ya ufugaji hawajali anaowahudumia zaid ya maslah yake tu...
1 Reactions
1 Replies
744 Views
Mikopo inatesa watu, Mikopo inadhalilisha, Mikopo ina fedhehesha, Mikopo inaleta uadui, Mikopo inavunja amani kwenye familia. Mikopo ingekuwa dawa basi ingeitwa dawa ambazo huwezi pewa bila...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni mwezi tangu flyover ya TAZARA ianze kujengwa lakini ukiangalia jinsi ujenzi wenyewe unavyofanyika kwa kusuasua inaweza kuchukua miaka kumalizika. Kwa uzoefu wangu ujenzi wa mradi mkubwa namna...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wanabodi,habari zenu kwa ujumla. Si vibaya tukikumbushana yaliyopita. Hivi zile hela waliokuwa wanatukata tanesko za service charge,zilikua zinaenda wapi? Na sasa ilikuaje mpaka wamesitisha...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Wana JF , umuofia kwenu. Kumekuwa sintomfahamu katika sekta ya wizara ya afya baada ya wakazi wenye bifu zao na stress za maisha kuwageukia Manesi na kuwabambikia kesi nzito kiasi kwamba hawana...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
KANISA la Tanzania Fellowship linafanya maombi maalumu ya siku nne ya kumwombea Rais John Magufuli na watendaji wake kuweza kufanya na kusimamia maamuzi yatakayoweza kuleta maendeleo kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Msafara wa magari yanayotumia technology ya kisasa isiyohitaji dereva ‘driverless technology’ umeingia katika record ya kitabu cha Guinness. Magari hayo yalisafiri umbali wa maili 2 huko Chongqing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom