Basi la Kampuni ya Abood lateketea kwa moto

Basi la Kampuni ya Abood lateketea kwa moto

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
fdb.jpg
Basi hilo lenye namba za usajili T 877 DJP linalofanya safari zake kati ya Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Morogoro limekumbwa na janga hilo karibu na mzani wa Vigwaza

gghjk.jpg
 
Kama hakuna majeruhi tunashukuru. Abiria poleni sana
 
Fire Extinguisher hawajaikumbuka kuvitumia au HAWANA? Au mwenye funguo ya wanapoihifadhia hayupo?
 
kuna abiria mmoja mjinga kavaa shati jeupe ameshuka then anarudi tena ndani kufuata bag!?
 
Huyo jamaa alieshuka na akapanda tena slikua anajitoa kafara
 
... ma-YUTONG ya kichina hayo mnachomekachomeka USB ovyo kuchaji simu; ndio limejibu hivyo!
 
Back
Top Bottom