Kama kuna jambo moja linalowasononesha wananachi wa Dar es salam kila siku, ni muda mwingi wanaoupoteza barabarani kutokana na foleni zisizoisha. Foleni zina athari kubwa kwa uchumi wa Dar es...
Nimeambiwa na rafiki yangu mmoja ambaye leo tar 11 Feb. 2018 alikwenda kwa KATIBU TAWALA wilaya mojawapo ya hapa mjini Dar es salaam.
Kasema ndani ya masaa 2 aliyoshinda hapo viwanja vya ofisi ya...
Wakati mabasi ya UDA yanaanza kazi
Serikali kupitia wakala wake DART
Ilisema kuwa wamewapatia UDA kipindi cha miaka miwili kwa MAJARIBIO:
Sasa cha ajabu miaka miwili imeisha lakini cha...
Mambo vipi waungwana?
Nikiwa kidato cha kwanza shule ya sekondori Chidya, almaarufu kama Golani iliyopo mkoani Mtwara. Shule ya wavulana tupu enzi hizo nakumbuka Jumamosi moja nilikuwa siko vizuri...
Mmiliki wa kiwanda cha chupi alikuwa na wakati mgumu kugundua kwanini kila mara kuna upungufu wa chupi. Wakati wa kutoka kiwandani kila mfanyakazi alipekuliwa na kila kitu kilikuwa sawa. Taratibu...
Habari kwenu Wakuu wote
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza
Mimi si muanzishaji wa thread humu ndani bali nimejijengea tabia ya kuwa msomaji na mchangiaji wa Mada mbalimbali pale inapobidi...
Ni matumaini yangu kuwa mpo vizuri kiafya sabab,kwangu mm afya ndo mtaji wa kwanza kabla ya capital.
Kama nilivyo tangulia kusema kwenye kichwa,nina mzigo wa hiliki nauza kwa bei ya jumla na reja...
Natarajia kusafiri kwenda Newala, kusudi la safari yangu ni kufika kijiji cha Ngende kutafuta bahati ya kimaisha.
Taarifa za awali nilizozipata ni za kutisha sana, na hatari yake ni kubwa sana...
MMILIKI wa Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena ameingia katika kashfa mpya, safari hii akidaiwa kuvamia kiwanja cha mfanyabiashara mwenzake, Alex Msama.
Mbali ya kuvamia...
Ningependa kufahamishwa juu ya mishahara ya Watumishi waliosimamishwa kazi na kufungiwa mishahara yao kwa takribani miezi 5-6 na kisha kurejeshwa kazini na kufunguliwa mishahara baada ya...
Kipindi kile cha Ulokole kwenye makanisa yetu tulikuwa tunajisifia NA kuulizana "mwenzanu unamiaka mingapi mpka sasa kwenye WOKOVU"
Na ilikuwa ni sifa kubwa kushirikishwa kwenye vikao vya wakubwa...
Kuna tabi ya wadada kukodi bodaboda wasiowajua, na kama tujuavyo wadada huwa ma vimizigo viwili vitatu, sa jana kuna mdada kakodi boda hamjui yule boda akamwambia "dada leta mkoda nikubebee kwa...
Majira ya saa sita mchana aliyekua Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu amefikishwa mahakamani kusubiri kusomewa mashtaka yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh. Polepole anachanja mbuga huko karatu na kupiga kampeni ili wananchi wamchague mbunge wa ccm uchaguzi ujao. Amewaambia wamfuate mzee wao Slaa,ilihali tunajua kua Dr. Slaa hajajiunga na chama...
Habari kwenu wanaJF..
Barabara zetu nyingi za mikoani na Wilayani ni vikaangio vya vitumbua na au Muffin Pan's.
Pindi viongozi wa maeneo husika wasikiapo kuna ujio wa maboss wao toka juu basi...
PWANI: FAMILIA ya Hamisi Sabiri na mkewe Zena Mari, wakazi wa Kitongoji cha Mkanzi, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani ipo katika mateso kwa asilimia 100 kufuatia watoto wao watatu waliozaliwa...
UNAFAHAMU MAANA HALISI YA CLOUDS?
.
Watu wengi wanafahamu kuhusu 'brand' ya Mawingu ambayo ilianza huko Arusha kupitia shughuli za kupiga disko. Sasa wengine hudhani kwa kuwa ilianza kama Mawingu...
Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba
Juzi niliangalia kwa jicho la tatu Video ya Mkuu wa Kaya Kuu aliponunua madafu niligundua kumbe hapana cha muuza madafu wala nini Wote ni maboss kazi kwa sababu
1 Iweje muuza matunda awepo karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.